The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Wanawanyonga ili kuwatisha waandamanaji.Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.
Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
View attachment 2445005
Imani hizi za kulazimishana hizi !! Ni za kutimiza haja za wanaadamu hizi.Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.
Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
View attachment 2445005
Mtihani kwa uislaamIran kama inaenda kutumbukia kwenye shimo hivi!!!! Acha tusubiri tuone
Marekani hamsaidii israel kwa sababu za kidini.Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷♂️
Nina mashaka na huyo mungu wao, hajiwezi kwa lolote hadi wasimame wao wenyewe kumlinda badala ya yeye kuwalinda!?Hao waliomnyonga ndio kwamba wao Mungu atawaona ni wema kwa kuwa wamejua kumpigania kwa kuuwa kiumbe mwenzao ambae wote aliwaumba yeye mwenyewe
KWA sheria zao ujiona SAwaHao waliomnyonga ndio kwamba wao Mungu atawaona ni wema kwa kuwa wamejua kumpigania kwa kuuwa kiumbe mwenzao ambae wote aliwaumba yeye mwenyewe
Marekani hamsaidii israel kwa sababu za kidini.
Anamsaidia kwa sababu za kiitikadi za kibepari.
Its all about the benjis
Hao conservatives 'evangelicals' hawakushikilia senate kwa miaka mingapi?As Israel increasingly relies on US evangelicals for support, younger ones are walking away: What polls show
Shibley Telhami analyzes survey data showing younger American evangelicals being less supportive of the U.S. leaning towards Israel over the Palestinians.www.brookings.edu
Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷♂️
Nina mashaka na huyo mungu wao, hajiwezi kwa lolote hadi wasimame wao wenyewe kumlinda badala ya yeye kuwalinda!?
Utashi wetu umefungwa katika dini,tunazaliwa tunazikuta na kuishi katika humo, uwezo wa kujudge kila kitu kinachokuja mbele yetu itasaidia kuepukana na mambo za kijinga kama hizi, watu wamepandikizwa imani za kijingaMkuu hao waliomnyonga wameahidiwa mabikra 72. Aise kuna dini za kijinga sana na misukule inaamini dini ya kijinga namna hii.
Halafu watamsingizia US.Iran kama inaenda kutumbukia kwenye shimo hivi!!!! Acha tusubiri tuone
HahaHalafu watamsingizia US.
Kabisa ni swala la muda tu mengi yatabakia kuwa historiaIran kama inaenda kutumbukia kwenye shimo hivi!!!! Acha tusubiri tuone