Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.
Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran. View attachment 2445005
Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷♂️
Lete ushahidi wa marekani kumkingia kifua israel kwa imani ya mungu wao aliacha maagizo..........yaani wewe unajifanya mjuaji kwa kugoogle tu wasukuma muna tabu sana