Michael Richard
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 166
- 496
- Thread starter
-
- #201
Wew acha kuwapotosha watu silent ocean wanasafirisha hata mche wa sabuni ili mradi tu mzigo umefika kwenye ghala zao chinaSilent hawasafirishi simu 1
Kwa simu moja huwa mawakala wapo wanasafirisha kwa kuanzia 20000
Hao mawakala ndo wapi sasaSilent hawasafirishi simu 1
Kwa simu moja huwa mawakala wapo wanasafirisha kwa kuanzia 20000
Tatizo lenu mnasafirisha mara moja afu mwajitia mwajua sanaWew acha kuwapotosha watu silent ocean wanasafirisha hata mche wa sabuni ili mradi tu mzigo umefika kwenye ghala zao china
Ingia insta utawakutaHao mawakala ndo wapi sasa
Hiki kichwa kigumu hichi hii nini sasa nimechukua juziIngia insta utawakuta
Chamazi mkuu
Kivip mkuu emb nielekezeUkipiga mahesabu kupitia maelezo yako inaonesha loss ya 500k tayar
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Big up man for this informative thread. Kuna madini ya kuokota humu for beginners and other like-minded hustlers.
Kuhusu FABRICATION and/or GENUINENESS... ni suala la mtu binafsi kufanyia follow-up na utafiti before hujarukia kumdiscredit mleta mada. What if ni og kweli, who knows?!! Mtu mmoja huko DarSlum amuibukie mwamba offisini kwake achukue pc moja then tupate uhakika. No research, no right to speak! Who alleges must prove.
Btw, mleta mada fikisha salaam kwa maalim Nash hapo Chamazi Bamia. Mwambie aendelee kuwa 'MHADHIRI' kwa vibe zaidi ili aikomboe mitaa. [emoji41]
-Kaveli-
Bianadamu bhana sawa ngoja tuone hivyo vilio kwawanao lizwa maan mm sija itisha mtu tozo yoyote ila nimetoa mchongo tuKuna mtu atalia kama mtoto mdogo na makanasi juu!
Kiongozi ulipo shikilia shikamana hapo hapo. Nasema piga kazi kanyaga twende.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nimegundua baadhi ya watu wamekerwa sana na hii post kwa maslahi wanayoyajua wao, hivyo wanaleta figisu kuwavunja watu moyoNATAMANI KUTUMA VOICE NOTE ILI NIMWAMBIE MTOA MADA KUWA WALE WANAOTOA COMMENTS NI AKAUNTI FEKI NYINGI NA ASIJIAMINI KWA HIZO KOMENTS ILA BASI TU
Uko sahihi kabisa shipping company Nyingi pale Kariakoo Hazina zengwe hata kiberiti kimoja wao wanasfirisha muhimu kumudu malipo yao(nimesurvey zaidi ya shipping company 8)Wew acha kuwapotosha watu silent ocean wanasafirisha hata mche wa sabuni ili mradi tu mzigo umefika kwenye ghala zao china
Hakika kaka huyo alio andika hajielew anakurupuka tu hafuatili mambo ili mradi yeye kakuta mada bc akil yake inamtuma lazima achanganyie ujinga wake tu.muda mwingin ata ukimy nao nijibu kama hufahamu jambo sio lazima ucomment unaweza tulia ukajifunza kwa wanaojuaUko sahihi kabisa shipping company Nyingi pale Kariakoo Hazina zengwe hata kiberiti kimoja wao wanasfirisha muhimu kumudu malipo yao(nimesurvey zaidi ya shipping company 8)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado nafikiria kwanini umeandika whorehouse?
Mtaji chini ya laki 5 umefika 1.3M
Umejua aje kwamba nifake mpk unapata ujasir wa kucomment mbele ya umma hivHizo nokia ni zile fake mzee