Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Nina vingi vya kujifunza hapa
 
Asante kwa tarifaa hii... Pole kwa walio kubeza,
Shule umeyotupa ni namna ya kuagiza bidhaa na haujalazimisha mtu kuwa wote tunapaswa kufanya biashara ya Sim....chukua ideas afu agiza unacho taka
 
Aisee..
 
🤣🤣
 
Kwa bei ya jumla ya 21000×100=2100000 ni pesa nyingi sana kwa nini usinunue wewe ukauza kwa mnada au jumla hata ukiuza 12000×100=120000 sio ndogo hapana ndugu kuna namna hapa kama ni wateja umewakosa.
 
Kuweni makini wako wengi hawa kuna huyu Dreams Llc na Richard na Karim Kanungila wote hawa ni wamoja bado naendelea kuwatafuta wengine mmoja najua anakopatikana China Plaza.
 
Kuna kitu mtoa mada hajasema na hapo ndipo gharama huongezeka maradufu..
TRA hawa ndio wauaji.
Kuhusu og na feki inategemea unavyochagua kuna verified dealers hao ndio uhakika ila kama mzigo mdogo ni bora upambane nairobi wanauza karibu same price na china ndio maana juzi wafanyabiashara kenya waliandamana 7bu walipoenda china wakakuta same price wakaandamana maana wachina wanaua soko lao
 
Pitia comment zotee nilisha jibu hilo swali la TAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…