Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Za kupangusa soko lake halilingani ni viswaswadu,viswaswadu mauzo yake ni chap,nadhani tuliopo kwenye industry hii tunakubaliana na kamanda
 
Hapo kwenye siku 21 hapana aisee, ametupiga
 
KWA USALAMA WA MASIKIO YAKO, HIZI SIMU NDOGO NI NZURI KULIKO KUBWA.
SIMU KUBWA ZINAPELEKEA UPOTEVU WA USIKIVU.(TAFUTA TAARIFA ZAIDI )

NA HIZI SIMU NAONA NI NZURI KWA KUTUNZA CHAJI KULIKO KUBWA.
 
Haiwezekani mkuu natumia silent ocean huu ni mwaka 3, ukianza kuhesabu mzigo unapoondoka CN unatumia almost 28-35days to kufika TZ ma sio 21days.
Baba huwaga unasafirisha full contena au
Wew mwambie supply wako apeleke mxigo wako loose cargo alf uone kam haujafik siku 21
 
Kuweni makini wako wengi hawa kuna huyu Dreams Llc na Richard na Karim Kanungila wote hawa ni wamoja bado naendelea kuwatafuta wengine mmoja najua anakopatikana China Plaza.
Duuuh
 
Mwenzenu Kuna katoto ka kichina niko nako tunapanga biashara nimekaopoa Alibaba, kananipa stori za ndani ndani huko

Sema wenzetu wako systematically ingawa kuna mmoja kanivuruga, mzigo hajaship hadi leo, ila namfanyia umafia wa chini chini ajifunze kuheshimu pesa za watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekubali hiyo mkuu
 
Asante kwa ushauri na siyo kwamba nakupinga au nataka kukuharibia bali napata ukakasi kwenye mambo haya,

1: nature ya sisi wabongo ni kwamba huwa hatutoi kamwe siri ya biashara zetu ya vipi tunaingiza faida na kiasi gani,labda iwe

a) umwambie mtu yote hayo ili mshirikiane kwenye biashara(partnership)

b)au biashara hyo ulishawahi kuifanya na unafanya biashara nyingine kwa sasa

c)biashara hyo ilishawahi kukutia loss na sasa unataka wengine wajaribu ili uone kama wenzako wataimudu au kufa kibudu kama wewe

Hapa ninachoshangaa mimi inakuwaje unafanya biashara hyo hyo then unasema inakupa faida kubwa and still una shawishi wengne waagize kama wewe toka china na di kutangaza zaid zako.

2.Navyojua mimi hzo websites zote za kuuza online huwa zina njia zake za kulipia bidhaa na ikiwa kuna tatizo kwenye bidhaa au seller bas wewe kama mteja unaweza ku claim na kurudishiwa heka zako sasa nmepata ukakasi

Hasa hapo unaposhawishi mtu anunhe kwa un verified seller na tena aitoshi alipie through link ya malipo atayotumiwa kitu ambacho hata mtanzania wa hapa anaweza ku create hyo link na account yake ya bank ya huku au hata huko huko china akalamba hela zote


3.mwisho ni hyo kusema kuwa silent ocean wanasafirisha mzigo ndani ya siku 21??,maana haijawahi tokea kwanza

Any ways asante kwa kutushirikisha
 
Yaan silent ocean kuna watu wanadai hadi miezi miwili mzigo hujaupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…