Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Huu uzi mzuri ukiwa positive.
Last week nimeagiza bidhaa kadhaa kwa matumizi binafsi na nyingine nitest soko.
Bidhaa kule inauzwa buku3 Hadi kufika huku.
Mtandaoni naona wanauza 15,000.
Leo zinafika Dar.
Kuna vitu vingi vinauzwa Alibaba Bei Chee ukicompare na bongo.
Unaweza kufanya research Bei za kule na huku.
Huwezi kukosa kitu Cha kuuza
 

Mzee kuna tofaut ya Kua na bidhaa na Kua na wateja

Mtu kuuza 15 ujue tyr anae mteja wake ambae ww ukisema uuze iyo Bei zinadoda
 
Uzi mzuri sana kwa watu wanaotafuta fursa. Nilikuwa naulizia kama Nina agent China kwa ajili ya kusafirisha mzigo. Asante kwa kunijulisha kuhusu Silent Ocean
 
Uzi mzuri sana kwa watu wanaotafuta fursa. Nilikuwa naulizia kama Nina agent China kwa ajili ya kusafirisha mzigo. Asante kwa kunijulisha kuhusu Silent Ocean
kwan hawa magent ni kampun za hapa hapa tz au?
 
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Unaeza agiza bidhaa yoyote kutoka china, na uturuki na kuuza bongo dar. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndege na Kwa NJIA ya meli 30-45 siku.

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958 text/call

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
 
Hongeraa sana Vyema sana mkuu naomba tutawasiliana nimechukua no yako nipate somo la kuagiza mahitaj china
 
Nitawaamin vp nakukukabizi mizigo yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…