Anza siku yako kwa mazoezi na unishukuru baadaye

Ratiba ya mazoezi asubui inatakiwa ichengane na ratiba ya mazoezi ya usiku, vinginevo unaweza kuvunja joint[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Vizuri ila kwa nini ni mpaka jasho likutoke?
 
Word
 
Mazoezi ni utumwa. Sio kitu cha mchezo ni rahisi kukijadili tu ila sio kufanya
 
Mazoezi nu utumwa. Sio kitu cha mchazo ni rahisi kukijadili tu ila sio kufanya
Imagine unatoka kwako unavaa bukta,viatu na t shirt unaanza kukimbia barabarani bila sababu! Wafanya mazoezi tupewe maua yetu.
 
Mazoezi ni utumwa. Sio kitu cha mchezo ni rahisi kukijadili tu ila sio kufanya
Unaweza kufika ukiamua.

Mimi kuna kipindi hata 10 push ups nilikuwa mpaka nipambane
Nikaenda mpka 20.
Kwenye 20 nimekaa almost 2years
Then nikaenda 30, na 40.
nilipokuwa kwenye 40, 50 nilikuwa sifikirii kabisa.
Ila baadae nikaamua kuongeza 10.
Now napiga 50.
 
Kuna zoezi pia linaitwa plank nilikuwa pia nalikatia tamaa sana ila baada ya kuja kumaster taratibu nikaliona kawaida .
 
naweka singeli,, alafu naanza mazoez,, taabu inakuja wakati wa push up,, mwanangu anakaa mgongoni,,,
up down up down hadi jasho,, mwanangu kivuruge sana mda mwingine nabak kucheka,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…