Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto

Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto

Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa.

Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano.

Wengi wao wanatoa ahadi feki, unaweza ukamtumia nauli na asifike, au akajizungusha zungusha huku akiamini kuwa yeye ni mzuri, kwa hiyo lazima akutese.

Yaani mpaka mvutane sana, ndio atakuja kwenye 'appointment' yako. Atajiwekea mazingira 'expensive' ya kutokutaka kuoanana na wewe; mara atakwambia nipo kwenye mzunguko wa mwezi, mara nimetumwa na boss, mara sina nafasi nina majukumu fulani n.k, lengo ni kujiweka wa gharama wakati hana hizo gharama.

Kutokana na huo ujinga wao; mi huwa nawapiga chini, napambana na hawa watu wazima waliokomaa, kuanzia miaka 36+, siwezi kusumbuana na vitoto mimi.

Nawasilisha.
Sawa lakini si mtu mzima ww😂😂😂😂😂.
 
Visumbufu kweli nataka staki,kuna best yangu katoto cha 2003 anampelekesha hadi jamaa amekuwa mweusi,kula ameanza jana yaani kila nikimchek hadi huruma...
 
Mashangazi wanajielewa sana,yaana wanapumua utu uzima,full free stress zone,umechoka na ukishusha mzigo unaambiwa "baba pole".
 
Visumbufu kweli nataka staki,kuna best yangu katoto cha 2003 anampelekesha hadi jamaa amekuwa mweusi,kula ameanza jana yaani kila nikimchek hadi huruma...
ha ha ha mwambie asome uzi huu ajifunze
 
Back
Top Bottom