Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto

Sawa lakini si mtu mzima wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Visumbufu kweli nataka staki,kuna best yangu katoto cha 2003 anampelekesha hadi jamaa amekuwa mweusi,kula ameanza jana yaani kila nikimchek hadi huruma...
 
Mashangazi wanajielewa sana,yaana wanapumua utu uzima,full free stress zone,umechoka na ukishusha mzigo unaambiwa "baba pole".
 
Ukiendekeza wanawake wakubwa wakubwa kuzeeka na kuchakaa kwako kupo nje njeπŸ˜‚
 
Visumbufu kweli nataka staki,kuna best yangu katoto cha 2003 anampelekesha hadi jamaa amekuwa mweusi,kula ameanza jana yaani kila nikimchek hadi huruma...
ha ha ha mwambie asome uzi huu ajifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…