Naiombea hiyo isipate mteja hadi Jumatano nitakapokuwa tayari kuinunua
DaaaahKuna Watu Mungu kawajalia Kufaidi Dunia Dah sawa bana Yaani mtu anaongelea Million Mianne Kama Elfu mbili
Mungu tuone nasisi tumechoka kusindikiza wenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
You could get seriously hurt Julius Magembe. I could break your skull open with a single punch, and you obviously don't want that, do you?Yo Njabu....come on and letβs shoot the fair one π€.
Me and you....mano a mano.
Yaani nimeandika neno moja "Dah" halaf wala sijaku quote wewe. Umekuja na maneno miiingiii. Just Dah!Kuna watu ukielezea maisha yako tu, yani si kwa nia ya kujisifia au kuwanyanyapaa wao, wao wanajisikia vibaya.
Kwa sababu wao wameshindwa kufikia hapo ulipofikia.
Sasa hapo lazima ushangae, unanikasirikia mimi, kwani mimi ndiye niliyekufanya ushindwe katika maisha haya?
Yani mimi kuishi kaulimbiu ya JF ya "Where we dare to talk openly" kuhusu maisha yangu, wewe ishakuuma tayari?
Wivu gani huo?
You must be tired of fighting your lover now, brazen fag Julius Magaymbe? Mano a mano sounds very gay to me, by the way.Yo Njabu....come on and letβs shoot the fair one π€.
Me and you....mano a mano.
Kama kweli ungekuwa ni tajiri na kuishi maisha ya anasa uko USA kama unavyodai usingekuwa na muda wa kutwa kushinda Jamiiforums kujigamba na kutembeza dharau zako. Watu wa levels hizo unazo pretend hawana muda huo. Inaonekana una tabia za kitoto na za kike.Hata kama nina kazi ya kujisifia (si kujisifiaga, ukiandika kujisifiaga unanionesha wewe ni mshamba wakuja) hilo si tatizo.
Kama nina kazi ya kujisifia, si kweli kwamba sina lolote.
Kwa sababu nina kazi ya kujisifia.
Kama sina lolote, sina hata kazi ya kujisifia.
Chagua moja, sina lolote au nina kazi ya kujisifia?
Mawili haya hayawezi kuwa kweli yote kwa pamoja.
Pia,
Kutojisifia si sifa nzuri.
Wasiojisifia wana mengi ya kutojisifia.
Tunaojisifia tuna mengi ya kujisifia.
Ningekuona wa maana kama ungenibishia kwa kituo katika ninayojisifia.
Lakini naona huna ubongo wala uti wa mgongo wa kunibishia.
Unaishia kunipiga vijembe vya wivu wa kuyataka maisha ninayoishi wakati huwezi kuyapata.
Funguka Tu mkuu usiogope hata ukitaka kutukana we tukana Tu hakuna MTU mwenye akili timamu anaweza kuumia fake Id yake ikitukanwa na fake id nyinginekuna nafsi kama inaniambia hebu sema jambo..ila nyingine inapinga na kusema haina haja
Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu pia ni hiyohiyo 8.0.48Asante sana.
Nime
1.Uninstall JF app.
2. Searched and downloaded JF app from apkpure.com version ni v8.0.48
3.Nimeenable installing apks
4.Nime install hiyo apk
5.Bado tatizo la kuona notifications za mwisho 22 September 2019 liko pale pale
6. Bado picha hazionekani.
Wewe app yako version gani? It should be in settings.
Labda kuna apk mpya zaidi ya hii?
Tumia hiyo app ya Tapatalk tu. Utaikuta jf na kuitumia vizuri tu.Yeah, nafikiri hata JF is based on Tapatalk. Nahitaji ku install Tapatalk?
JF kila mtu tajiri, masikini tupo wachache sana waliobaki wote karibia 90% wako vizuri, kifedha, kiakili, etc alafu wewe jamaa punguza ujuaji kila sehemu unajua wewe daah
Hata hapa naweza kuendeleza libeneke kama nalipwa kwa kila neno ninaloandika.Yaani nimeandika neno moja "Dah" halaf wala sijaku quote wewe. Umekuja na maneno miiingiii. Just Dah!
Asante mkuu kwa msaada. Nimeinstall Tapatalk.Imemaliza matatizo ya picha na notification.Yangu pia ni hiyohiyo 8.0.48
Labda ujaribu tapatalk then usearch JF..Kutokupata notification ni usumbufu na ina kera sana
Shukurani, nimeinstall Tapatalk nitaitumia hiyo.Tumia hiyo app ya Tapatalk tu. Utaikuta jf na kuitumia vizuri tu.
Wewe si unajua kila kitu iweje kitu simple kama hicho ushindwe?Shukurani, nimeinstall Tapatalk nitaitumia hiyo.