Apartment mpya inauzwa Kariakoo, Bei ni TSh. 280 milioni

Apartment mpya inauzwa Kariakoo, Bei ni TSh. 280 milioni

Joined
Apr 10, 2025
Posts
40
Reaction score
44
Apartment mpya inauzwa Kariakoo

  • Vyumba vitatu ya kulala
  • Kimoja master
  • Ina Furniture
  • Ipo ghorofa ya Nane
  • Jengo lina Lifti
  • Jengo ni jipya
Bei TSh. 280m
Call/WhatsApp +255758 844 717

IMG-20250417-WA0554.jpg
 
Kuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?

Unapaswa kuwa na bima, huwezi ukawa na uwezo wa kulipa hiyo amount halafu ukashindwa kulipia bima.

Inaonekana mfumo wa maisha Tanzania unakwenda kubadirika taratibu, tunapaswa nasi kuanza kubadirika.
 
Maghorofa ya dar ni mchongo tu,unanunua leo, kesho ...
Mambo muhimu ya kujiuliza:
1. Moto: Ikitokea ajali ya moto, jiji lina uokoaji na zimamoto ya uhakika?
2. Maji kupanda ghorofani, yanapanda kila siku?
3. Uimara wa nyumba eg imejengwa kwa viwango?
4. Kukatika-katika umeme vs lift.
5. Ni sehemu nzuri ya kuishi hasa kama una familia?
 
Mambo muhimu ya kujiuliza:
1. Moto: Ikitokea ajali ya moto, jiji lina uokoaji na zimamoto ya uhakika? 2. Maji kupanda ghorofani, yanapanda kila siku? 3. Uimara wa nyumba eg imejengwa kwa viwango? 4. Kukatika-katika umeme vs lift. 5. Ni sehemu nzuri ya kuishi hasa kama una familia?
Hayo Yote Yanaweza Kutokea Popote Pale Kwenye Nyumba Za Kawaida Sio Lazima Apatimenti
 
Mambo muhimu ya kujiuliza:
1. Moto: Ikitokea ajali ya moto, jiji lina uokoaji na zimamoto ya uhakika? 2. Maji kupanda ghorofani, yanapanda kila siku? 3. Uimara wa nyumba eg imejengwa kwa viwango? 4. Kukatika-katika umeme vs lift. 5. Ni sehemu nzuri ya kuishi hasa kama una familia?

Kuna wakati ukifikiria ya Tanzania unaweza kuumwa, eneo kama Kariakoo halina mfumo wa maji ya kuzimia Moto ( fire hydrant) na systems nyingine za dharula.
Sio Kariakoo tu,hata pale posta ni tatizo hilohilo.

Maghorofa yamejengwa bila mpango, Nina wasiwasi siku likitoke hata tetemeko dogo tu, naiona hatari.
 
Hivi Kuna mtu ananunua kweli hiyo? Kupigiwa kelele na boda boda kutwa, condensed area!

Na apprtment hapo issue nyingine uwe tayari kutumia up to 500,000/month other charges!

Kwa nini usivute eneo lako Boko la 100m taratibu ujenge Nyumba yako saaaafi Kabisa mdogo mdogo?
 
Back
Top Bottom