Apartment mpya inauzwa Kariakoo, Bei ni TSh. 280 milioni

Hivi Kuna mtu ananunua kweli hiyo? Kupigiwa kelele na boda boda kutwa, condensed area!

Na apprtment hapo issue nyingine uwe tayari kutumia up to 500,000/month other charges!

Kwa nini usivute eneo lako Boko la 100m taratibu ujenge Nyumba yako saaaafi Kabisa mdogo mdogo?
Ununue uwanja million 100 halafu uko boko? You must be damned!

Shughuli zetu wengi ziko maeneo ya karibu na City center,Kinondoni, Masaki na sasa zime extend kuja hadi Mwenge. For the money ni aheri ununue nyumba maeneo ya Magomeni au Tandale utabakia na chenchi ya kutosha kufanya renovation au hata completely rebuilding ukapata nyumba ya kisasa na eneo la karibu.

Huko Boko sio sehemu ya kuishi kwa mtafutaji ila ni pazuri pa kuwekeza kwa ajili ya wapangaji kama una hela.
 
Mkuu wawezakuja pm mara 1?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hivi Kuna mtu ananunua kweli hiyo? Kupigiwa kelele na boda boda kutwa, condensed area!

Na apprtment hapo issue nyingine uwe tayari kutumia up to 500,000/month other charges!

Kwa nini usivute eneo lako Boko la 100m taratibu ujenge Nyumba yako saaaafi Kabisa mdogo mdogo?
Wahindi wanapenda hizo
 
Ununue uwanja million 100 halafu uko boko? You must be damned!

Shughuli zetu wengi ziko maeneo ya karibu na City center,Kinondoni, Masaki na sasa zime extend kuja hadi Mwenge. For the money ni aheri ununue nyumba maeneo ya Magomeni au Tandale utabakia na chenchi ya kutosha kufanya renovation au hata completely rebuilding ukapata nyumba ya kisasa na eneo la karibu.

Huko Boko sio sehemu ya kuishi kwa mtafutaji ila ni pazuri pa kuwekeza kwa ajili ya wapangaji kama una hela.
Tunaoishi bunju mapinga na kerege tunasoma hii komenti huku tunatetemeka.
 
Ununue uwanja million 100 halafu uko boko? You must be damned!

Shughuli zetu wengi ziko maeneo ya karibu na City center,Kinondoni, Masaki na sasa zime extend kuja hadi Mwenge. For the money ni aheri ununue nyumba maeneo ya Magomeni au Tandale utabakia na chenchi ya kutosha kufanya renovation au hata completely rebuilding ukapata nyumba ya kisasa na eneo la karibu.

Huko Boko sio sehemu ya kuishi kwa mtafutaji ila ni pazuri pa kuwekeza kwa ajili ya wapangaji kama una hela.

kiwanja? kunondoni 100m? Are you for real? Unakaa Dar es salaam wewe? Mnajua nyie watu mlioajiriwa Dar es salaam mkakopa Forester na kufanywa watumwa wa ajira hamjui kabisa namna Mji unaenda!

100m is nothing kwa huu Mji kuthubutu kuongelea eneo Kinondoni, Kuna eneo hapo Makumbusho limezungushowa fency, dogo tu, 2bn no Questions asked, wanaume wananua!

We nenda huko Kimara, hata Boko hutaweza!
 
Imagine petrol kwa sasa ni Tshs.3000/= unahitaji litre ngapi kufika posta au Kariakoo na zile foleni?!

Kilometre 40 daily 😂 plus 2 hours on idle due to heavy traffic.

Mimi natoka Home saa 4, narudi saa 8, ni namna tu ya maisha na utafutaji!
 
Mambo muhimu ya kujiuliza:
1. Moto: Ikitokea ajali ya moto, jiji lina uokoaji na zimamoto ya uhakika?
2. Maji kupanda ghorofani, yanapanda kila siku?
3. Uimara wa nyumba eg imejengwa kwa viwango?
4. Kukatika-katika umeme vs lift.
5. Ni sehemu nzuri ya kuishi hasa kama una familia?
TZ ufisadi unaanzia ngazi ya familia mpaka ya raisi, yani hao wahandisi ndo wawe waaminifu!! mimi simshauri mtu ayabetie maisha yake kwa kununua ghorofa TZ, heri kwa khanji. Ka.koo watu wamekufa hivhivi, uokoaji wenyewe tabu tupu,PUMBAVU KABISA CCM,,,
 
Kuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?
Kuna watu mna akili sana ya kufikiria hapa duniani.

Hv unajua kama umeuliza swali la maana sana.?
 
Hayo Yote Yanaweza Kutokea Popote Pale Kwenye Nyumba Za Kawaida Sio Lazima Apatimenti
Jaribu kutafakari kabla ya kuchangia. Hivi risk ya mtu aliyelala ndani kwenye moto unaowaka usiku kwenye nyumba ukiwa gharofa ya 8 ni sawa na nyumba ya chini? Apartment zina accomodate familia nyingi eg 50, chances za moto kuwaka ni sawa na mtu mwenye nyumba moja? Jiji lenye upatikanaji wa maji wa kuunga-unga kama Dar, mtu anayeishi ghorofa ya 8 Kariakoo ni sawa na anayeishi chini? Umeme unavyokatika, mtu aliye Kariakoo ghorofa ya 8 madhara yake ni sawa na aliyejenga nyumba ya chini Bunju? Nyie ndiye watu ambao bado mnaamini kwa sababu unyayo wa mtu hauzidi futi moja basi hakuna haja ya barabara na magonjwa huja na kuondoka yenyewe.
 
Kwani Hakuna Watu Wanao Kaa Katika Hizo Apartments Si Hapo Kariakoo Tu Hata Huko Duniani?Unataka Kuniambia Hawajawaza Kama Uzavyo Wewe??Hatari Inatokea Popote Pale Ndugu Na Ndio Maana Zinauzwa Inamaana Uhitaji Upo Na Watu Wanakaa
 
Back
Top Bottom