nkakisali2
Senior Member
- Jun 9, 2022
- 118
- 265
Kuna nchi wao wananunua apartment tu mtu akitaka nyumba hamna mambo ya kununua kiwanja na kujenga naona imeanza kujaTanzania taratibu watu watazoea tu
Ndiyo maana nikasema hujaelewa nilichoandika. Ukirudi kusoma tena utaona kabisa kuwa nime-suggest kama unataka kununua sehemu kama hiyo ufanye research kuhusu vipengele hivyo. Hii ni kwa sababu Tanzania kwenye ujenzi, uokoaji na huduma, vipengele nilivyo-mention kiwango chake kiko chini. Hivi wewe ukienda kununua gari huwa huchunguzi ubora wa gari? Unanunua tu kwa sababu magari yote duniani yako sawa?Kwani Hakuna Watu Wanao Kaa Katika Hizo Apartments Si Hapo Kariakoo Tu Hata Huko Duniani?Unataka Kuniambia Hawajawaza Kama Uzavyo Wewe??Hatari Inatokea Popote Pale Ndugu Na Ndio Maana Zinauzwa Inamaana Uhitaji Upo Na Watu Wanakaa
Swali linge-sound vizuri kama ungeuliza "... siku jengo likidondoka kitabaki nini?" ili ku-include "all possibilities".Kuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?
China ardhi ni mali ya serikali. Ukitaka kununua ardhi utainunua serikalini na ukitaka kuuza utauzia serikali kwa bei ya serikali. Hakuna madalali aka matapeli wa ardhi huko.Kuna nchi wao wananunua apartment tu mtu akitaka nyumba hamna mambo ya kununua kiwanja na kujenga naona imeanza kujaTanzania taratibu watu watazoea tu
Haya...!!Ndiyo maana nikasema hujaelewa nilichoandika. Ukirudi kusoma tena utaona kabisa kuwa nime-suggest kama unataka kununua sehemu kama hiyo ufanye research kuhusu vipengele hivyo. Hii ni kwa sababu Tanzania kwenye ujenzi, uokoaji na huduma, vipengele nilivyo-mention kiwango chake kiko chini. Hivi wewe ukienda kununua gari huwa huchunguzi ubora wa gari? Unanunua tu kwa sababu magari yote duniani yako sawa?
Una hoja ya msingi ila kwa walivyo watanzania watakushambulia kwa maneno hawatajibu hoja yakoKuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?
700,000*12 = 8,400,000/=Apartment ya aina hio kwa kariakoo sio chini ya laki 7 kwa mwezi.
Hela yako itarudi baada ya miaka 30Kama una hela nunua na ukodishe pesa yako itarudi bila shaka yoyote
Unapokata bima ya gari mfano Comprehensive policy. Gari linaibwa, na nani?limevunjwa na nani na kwa msingi upi?
Huyo alikuwa lofa kweli😆😂Hii imenikumbusha kuna kitu niliona mtandaoni jamaa anasema aliweka 5M bank ilibidi kila siku awe anapita kuangalia kama bank bado haijafungwa
Kupanga ni kuchagua. Ndio maana wengine wapo Bagamoyo na wengine NamtumboHivi Kuna mtu ananunua kweli hiyo? Kupigiwa kelele na boda boda kutwa, condensed area!
Na apprtment hapo issue nyingine uwe tayari kutumia up to 500,000/month other charges!
Kwa nini usivute eneo lako Boko la 100m taratibu ujenge Nyumba yako saaaafi Kabisa mdogo mdogo?
Ila ni uhakikaHela yako itarudi baada ya miaka 30
Chukua 210 fastaApartment mpya inauzwa Kariakoo
Bei TSh. 280m
- Vyumba vitatu ya kulala
- Kimoja master
- Ina Furniture
- Ipo ghorofa ya Nane
- Jengo lina Lifti
- Jengo ni jipya
Call/WhatsApp +255758 844 717
Kifusi au mauti hapo unabaki navyo..!! 😹Kuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?