Dalali wa kimataifa
Member
- Apr 10, 2025
- 40
- 44
Huna kituKuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?
Unabakiza kumiliki kuwanja hewaniπππKuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?
Unabaki na hewaπKuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?
Kuuliza sio ujinga,hivi ukinunua apartment kama hii ambayo inapatikana kwenye jengo la ghorofa siku jengo likidondoka wewe unabakiwa na nini?
Hapo sawa nimepata mwanga endapo ikatokea jambo kama hiloUnapaswa kuwa na bima, huwezi ukawa na uwezo wa kulipa hiyo amount halafu ukashindwa kulipia bima.
Inaonekana mfumo wa maisha Tanzania unakwenda kubadirika taratibu, tunapaswa nasi kuanza kubadirika.
Hii imenikumbusha kuna kitu niliona mtandaoni jamaa anasema aliweka 5M bank ilibidi kila siku awe anapita kuangalia kama bank bado haijafungwaUnabaki na hewaπ
Inabidi uwe na injinia afanye ukaguzi wa jengo.
Pia mkataba, ikitokea jengo limevunjwa. Haki za wamiliki wengine zinalindwaje? Nk.
Mambo muhimu ya kujiuliza:Maghorofa ya dar ni mchongo tu,unanunua leo, kesho ...
ππππUnabakiza kumiliki kuwanja hewaniπππ
Hayo Yote Yanaweza Kutokea Popote Pale Kwenye Nyumba Za Kawaida Sio Lazima ApatimentiMambo muhimu ya kujiuliza:
1. Moto: Ikitokea ajali ya moto, jiji lina uokoaji na zimamoto ya uhakika? 2. Maji kupanda ghorofani, yanapanda kila siku? 3. Uimara wa nyumba eg imejengwa kwa viwango? 4. Kukatika-katika umeme vs lift. 5. Ni sehemu nzuri ya kuishi hasa kama una familia?
Laki 7 mpaka milioni 1.Kupanga apartment kama hiyo kwa Dar es Salaam kodi ni shilingi ngapi?
Mambo muhimu ya kujiuliza:
1. Moto: Ikitokea ajali ya moto, jiji lina uokoaji na zimamoto ya uhakika? 2. Maji kupanda ghorofani, yanapanda kila siku? 3. Uimara wa nyumba eg imejengwa kwa viwango? 4. Kukatika-katika umeme vs lift. 5. Ni sehemu nzuri ya kuishi hasa kama una familia?