APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

Joined
Apr 10, 2025
Posts
40
Reaction score
44
#sale
APPERTMENT ZINAUZWA “””
ZIPO ZA VYUMBA VITATU “”

ZIPO ZA VYUMBA VIWILI
ZOTE ZINA WAPANGAJI
VYUMBA VITATU NI LAK 700K
VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K

UKUBWA WA KIWANJA
NI SQMT 1200””

KUNA HATI MILIKI
OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO

LOCATION
MBWEN MPIJI

🇹🇿Call/WhatsApp+255758844717
 

Attachments

  • 2025-04-27-054528208.mp4
    3.2 MB
Vigogo huko serikalini sahv wanawavua watu mijengo tu
Pesa wanayo...
Si unaona pia uwingi wa ujenzi wa vituo vya mafuta watu wana divert mijihela huko

Ova
Wanazisafisha hela zetu
 
Hivi ni akina nani huwa wananunua kwa hizo bei za milioni 850, bilioni 2, n.k.?

Watanzania hawa hawa wanaoshindwa kununua deodorant?
Ndugu Nyani Ngabu elewa jambo hili, watanzania kama jamii nyingine Wana matabaka, huku Kuna tabaka la watafuna keki ya taifa na washirika wao, lkn pia Kuna tabaka la kajamba nani..watafuna keki ya taifa na washirika wao ndio wanapita na nyumba za bei hizo na hata zaidi..
 
Hivi ni akina nani huwa wananunua kwa hizo bei za milioni 850, bilioni 2, n.k.?

Watanzania hawa hawa wanaoshindwa kununua deodorant?
Wananunua hizo nyumba Mkuu kwao ni hela ndogo sana hiyo wakati maeneo ya kuvunja Kariakoo wanaanzia Tsh 5 billion kwenda mbele..
 
#sale
APPERTMENT ZINAUZWA “””
ZIPO ZA VYUMBA VITATU “”

ZIPO ZA VYUMBA VIWILI
ZOTE ZINA WAPANGAJI
VYUMBA VITATU NI LAK 700K
VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K

UKUBWA WA KIWANJA
NI SQMT 1200””

KUNA HATI MILIKI
OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO

LOCATION
MBWEN MPIJI

🇹🇿Call/WhatsApp+255758844717
Hizi bei huwa mnazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom