mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
ni suala la mtu kupapenda tu.Napajua.
Hapanissue ni bei.
Hakuna mtu aliyetafita pesa zale kwa shida TZ hii atanunua hicho ki-apartment kwa bei hiyo.
Mbunge mwenyewe ambaye ndio wanaolipwa parefu nchi hii, pension yake milioni 250.
Ukijumlisha na kila posho, na rushwa anapata bilioni 1 kwa miaka 5.
KWa vyovyote hawezi kununua kitu kwa bei ya milioni 850.
ila wapo wenye hela hizo.akijua tu hela yake itarudi vp