Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Ni lile kundi la wasiojulikana wenye vioo na miwani myeusiHivi ni akina nani huwa wananunua kwa hizo bei za milioni 850, bilioni 2, n.k.?
Watanzania hawa hawa wanaoshindwa kununua deodorant?
Ni lile kundi la wasiojulikana wenye vioo na miwani myeusiHivi ni akina nani huwa wananunua kwa hizo bei za milioni 850, bilioni 2, n.k.?
Watanzania hawa hawa wanaoshindwa kununua deodorant?
Hawana pesa wale… labda wale wanaopokea za wazungu in the name of politicsNi lile kundi la wasiojulikana wenye vioo na miwani myeusi
Mkuu nakuambia wapo wenyenazoHawana pesa wale… labda wale wanaopokea za wazungu in the name of politics
Sio wale askariMkuu nakuambia wapo wenyenazo
Hiyo pesa ni ndogoTz Kuna Nyumba yenye thamani ya 850m???? Kiweni siriyas na maisha
Wale kajamba nani tu watumwa Kuna wenye pesa wenyeweMkuu nakuambia wapo wenyenazo
Mbona ndogo hiyo, mkoani watu wanauza nyumba billion na wananunua..!!Tz Kuna Nyumba yenye thamani ya 850m???? Kiweni siriyas na maisha
Na mimi namshangaa wakati hiyo pesa watu wananunua nyumba mkoa itakuwa Dar mbweni??Hiyo pesa ni ndogo
Wala sio serikalini hata wafanyabiashara wa kawaida wananunua, ss hivi mambo yamebadilika sana…!!Itanunuliwa na lijitu kutoka serikalini huko
Ova
Hujaona ile ya Bakhresa kule zenji ya billion 30Tz Kuna Nyumba yenye thamani ya 850m???? Kiweni siriyas na maisha
Vituo vya mafuta vipo km uyoga ss hivi..!!Vigogo huko serikalini sahv wanawavua watu mijengo tu
Pesa wanayo...
Si unaona pia uwingi wa ujenzi wa vituo vya mafuta watu wana divert mijihela huko
Ova
Huyo jamaa haishi bongo anaishi Dubai mda mrefu sanaMbona ndogo hiyo, mkoani watu wanauza nyumba billion na wananunua..!!
We kwani unaishi Tz sehemu gani mkuu??
Wana target Foreigners.Hivi ni akina nani huwa wananunua kwa hizo bei za milioni 850, bilioni 2, n.k.?
Watanzania hawa hawa wanaoshindwa kununua deodorant?
Namshauri arudi huko anapoteza muda, km anashangaa nyumba kuuzwa 850mlnHuyo jamaa haishi bongo anaishi Dubai mda mrefu sana
unakosea.Hivi ni akina nani huwa wananunua kwa hizo bei za milioni 850, bilioni 2, n.k.?
Watanzania hawa hawa wanaoshindwa kununua deodorant?
unapajua mbweni?kuna wabongo wana mawe mjombaaWana target Foreigners.
Kuna Wachina wengi sana na black Americans wamehamia TZ.
Kwa sasa hivi hii ni fedha ndogo sana kwa mtu aliyeko kwenye nafasi ya upigaji serikalini. Wanakwapua siyo mchezo. Jamaa mmoja yuko idara ya uhasibu serikalini huko, juzi juzi alikuwa hohehahe, sasa hivi ana apartment kama hizi na anaingiza vifaa vya ujenzi kwa ujumla. Niliambiwa hakosi kitu kama bilioni 10.Mtumishi wa serikali ana milioni 850!
Only in a banana republic.
Napajua.unapajua mbweni?kuna wabongo wana mawe mjombaa
Daah mkuu upo kijiji gani hicho kina mtandao wa net upo sawa hivi hao wabunge wananunua eneo Kariakoo kwa 3 billion unazungumzia nyumba ya 850m kweli?Napajua.
Hapanissue ni bei.
Hakuna mtu aliyetafita pesa zale kwa shida TZ hii atanunua hicho ki-apartment kwa bei hiyo.
Mbunge mwenyewe ambaye ndio wanaolipwa parefu nchi hii, pension yake milioni 250.
Ukijumlisha na kila posho, na rushwa anapata bilioni 1 kwa miaka 5.
KWa vyovyote hawezi kununua kitu kwa bei ya milioni 850.