Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Sawa nimekuelewaMadam,
Mitazamo mingine inabomoa tu, haijengi.
Sawa nimekuelewaMadam,
Mitazamo mingine inabomoa tu, haijengi.
Sio kwa kupenda punguzeni bei ya mbususu muone kama tutanyetuka na mlenda vuguvugu
🤣🤣🤣😅Ila we kaka wewe🙌Sio kwa kupenda punguzeni bei ya mbususu muone kama tutanyetuka na mlenda vuguvugu
Hasa ukiwa horny....isiwe ya kulazimisha kisa umezoea kujishikash
We acha tu,nyeto ina siri kubwa sanaHasa ukiwa horny....isiwe ya kulazimisha kisa umezoea kujishikashika
Sio kila ugonjwa au ulemavu ni adhabu kutoka kwa Mungu.Pale jitegemee kambi ya Jeshi kitengo cha salvation army Kuna shule ya watoto walemavu.unataka kuniambia wale watoto wamemkosea nini mungu mpaka kuwapa ile adhabu?
Huyo amepiga punyeto amepewa adhabu ya upofu je wale watoto wenye ulemavu walitenda uovu gani?
Nipeee tamuuuu🤣🤣🤣😅Ila we kaka wewe🙌
Wazinzi mbona wanapigwa sana tu.Kwahyo anayeadhibiwa ni mnyetukaji na sio wazibua mitaro na wazinzi wengine?
Punyeto ni hatari! Naweza kuamini punyeto Inaharibu mishipa ya macho. Kipindi hicho tunakua, unapiga punyeto mpaka mishipa ya kichwa pembeni ya macho inauma ukiisha pizi! Mungu ni mwema wengine tulitoka salama na nguvu kurudi upya labda kwa sababu tulikuwa bado tunakua. Namansisha tulipiga punyeti tukiwa na 16years hivi!Yaani kuna watu seriously wanakaa wanatudanganya kuhusu mazara ya punyeto seriously....
Mimi nikikuta mtu anamsema mwenzake kuhusu punyeto kwanza naweza mchapa vibao alaaaah..
Hivi mnajua faida ya punyeto.
Uwezi jua mpaka siku ukaja kupata magonjwa ya STDs na STIs.
Kwanini mnaleta story za vijiweni kuhusu madhara ya punyeto...
Wakuu wanasema everything is harmful kama tuu kita exceed ile limit...
Sasa mpaka anafikia mtu anapigwa kisa punyeto what kind of that behaviour..
Mnajua ni kiasi gani punyeto inaokoa matumizi ya pesa..
Hvi mnajua ulevi wa ngono ndio unapelekea watoto wa mtaani.
Mimba za utotoni...
Single maza
Magonjwa na kazarika
Ndugu jamaa na marafiki kama bado upo katoka rika la kujitafuta piga punyeto kwa kiasi.
Kama ni mtu upo katika ndoa una constantly timetable ya kupata kitumbua wewe ukipiga punyeto huna budi kupigwa mpaka uzimii huo utakua ni uvunjaji wa sheria
Ach uwongo aiseee mbona unakua hvo mkuu..Punyeto ni hatari! Naweza kuamini punyeto Inaharibu mishipa ya macho. Kipindi hicho tunakua, unapiga punyeto mpaka mishipa ya kichwa pembeni ya macho inauma ukiisha pizi! Mungu ni mwema wengine tulitoka salama na nguvu kurudi upya labda kwa sababu tulikuwa bado tunakua. Namansisha tulipiga punyeti tukiwa na 16years hivi!
Ukipiga punyeto kwa wingi baada ya kukua mfano miaka 25 na kuendelelea, kuna hatari ukapata madhara ya kudumu mana viungo vinakuwa vimeishakomaa
Natoa uzoefu labda madaktari waje watusaidie. Unapiga punyeto mpaka mishipa ya macho inauma!Wewe
Ach uwongo aiseee mbona unakua hvo mkuu..
Hvi kuna uhusiano gani kati ya macho na uume explain with vivid examples
Hujasoma Yuda 1:7 na 2 Petro 2:6-9? Wazibua mitaro waliadhibiwa vikali sana. Wao na miji yao walichomwa moto wakawa majivu. Alisalimika mtu mmoja tu na mkewe na mabinti zake.wazibua mitaro
Mimi mwenyewe ni dactaru ndo nakuambia sasa punyeto ina madhara kama yalivyo.maji...Natoa uzoefu labda madaktari waje watusaidie. Unapiga punyeto mpaka mishipa ya macho inauma!
Yes, masturbation is a sin because it feeds lustful thoughts, which Jesus warned against. 'But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart.' — Matthew 5:28.Masturbation is a sin
Huyo Mungu hajawahi kuwaadhibu wauaji wa hadharani na gizani, aje amwadhibu mtu anayejichua.Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa kipigo?
Mtu huyu alipigwa na Mungu mwenyewe. Ilikuwa hivi: alianza kuhisi hali isiyo ya kawaida katika macho yake. Akaenda kufanyiwa check-up katika hospitali kubwa, ya kisasa, yenye daktari aliyebobea katika kutibu magonjwa ya macho. Akaambiwa kuna vipele vipele vidogo pembezoni mwa macho (kwa ndani). Akapewa dawa ya kutumia wiki tatu na kuhakikishiwa kuwa shida hiyo itaisha kabisa.
Akaanza kutumia dawa, wiki ya kwanza ikapita bila nafuu. Wiki ya pili akaanza kusikia ahueni. Siku ya 14, hali ikabadilika ghafla. Akawa hawezi kabisa kutazama mwanga wowote ule - wa jua, wa tochi, wa taa, na hata mwanga wa simu! Akitazama tu mwanga kidogo unayachoma macho yake kama sindano na kumsababishia maumivu makali sana. Hivyo ikabidi awe anafumba macho tu.
Baadaye akang'amua dhambi ya kujichua ndiyo iliyomsababishia shida hiyo. Akatubu sana kwa machozi na kumwahidi Mungu kuwa hatarudia tena. Ndani ya dakika chache tatizo hilo likaisha! Akaanza kuona vizuri kabisa bila kusumbuliwa na mwanga. Hakuendelea tena kutumia ile dawa na mpaka leo hajasikia tatizo lolote katika macho yake. Tangu siku ile aliacha kujichua na anaendelea kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
Limit ni kunyeto mara ngapi?Mimi mwenyewe ni dactaru ndo nakuambia sasa punyeto ina madhara kama yalivyo.maji...
Uki exceed limit utasumbuliwa tu
Kivipi mkuu?
Nipe andiko lolote linalosema kujichukulia sheria ni dhambi, nipeee halafu nkupigia chap.