Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

Ok,sawa kujichua kunakukera,vipi na kuchuliwa na mtu mwingine pia ni tatizo au,lakini pia siku hizi nasikia kuna pe**s massage,hii nayo imekaaje.
 
Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa kipigo?

Mtu huyu alipigwa na Mungu mwenyewe. Ilikuwa hivi: alianza kuhisi hali isiyo ya kawaida katika macho yake. Akaenda kufanyiwa check-up katika hospitali kubwa, ya kisasa, yenye daktari aliyebobea katika kutibu magonjwa ya macho. Akaambiwa kuna vipele vipele vidogo pembezoni mwa macho (kwa ndani). Akapewa dawa ya kutumia wiki tatu na kuhakikishiwa kuwa shida hiyo itaisha kabisa.

Akaanza kutumia dawa, wiki ya kwanza ikapita bila nafuu. Wiki ya pili akaanza kusikia ahueni. Siku ya 14, hali ikabadilika ghafla. Akawa hawezi kabisa kutazama mwanga wowote ule - wa jua, wa tochi, wa taa, na hata mwanga wa simu! Akitazama tu mwanga kidogo unayachoma macho yake kama sindano na kumsababishia maumivu makali sana. Hivyo ikabidi awe anafumba macho tu.

Baadaye akang'amua dhambi ya kujichua ndiyo iliyomsababishia shida hiyo. Akatubu sana kwa machozi na kumwahidi Mungu kuwa hatarudia tena. Ndani ya dakika chache tatizo hilo likaisha! Akaanza kuona vizuri kabisa bila kusumbuliwa na mwanga. Hakuendelea tena kutumia ile dawa na mpaka leo hajasikia tatizo lolote katika macho yake. Tangu siku ile aliacha kujichua na anaendelea kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
Duniani kuna mengi
 
Mtugawie sasa ili tusipige puli
 
Sote ni wafuasi wa YESU lakini content

zako unatakiwa uwe unaziangalia mara mbili mbili
 
Mwanzo 38:8 1Nya 2:3 Kisha Yuda akamwambia Onani, “Kutana kimwili na mke wa ndugu yako, na utimize wajibu wako kwake kama mke wa ndugu yako, ili umpatie ndugu yako uzao.” Lakini Onani alijua kwamba uzao haungekuwa wake, kwa hiyo kila alipokutana kimwili na mke wa ndugu yake, alimwaga chini mbegu za kiume ili asimpatie ndugu yake uzao. Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa Bwana, hivyo, pia Bwana akamuua Onani.
 
Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa kipigo?

Mtu huyu alipigwa na Mungu mwenyewe. Ilikuwa hivi: alianza kuhisi hali isiyo ya kawaida katika macho yake. Akaenda kufanyiwa check-up katika hospitali kubwa, ya kisasa, yenye daktari aliyebobea katika kutibu magonjwa ya macho. Akaambiwa kuna vipele vipele vidogo pembezoni mwa macho (kwa ndani). Akapewa dawa ya kutumia wiki tatu na kuhakikishiwa kuwa shida hiyo itaisha kabisa.

Akaanza kutumia dawa, wiki ya kwanza ikapita bila nafuu. Wiki ya pili akaanza kusikia ahueni. Siku ya 14, hali ikabadilika ghafla. Akawa hawezi kabisa kutazama mwanga wowote ule - wa jua, wa tochi, wa taa, na hata mwanga wa simu! Akitazama tu mwanga kidogo unayachoma macho yake kama sindano na kumsababishia maumivu makali sana. Hivyo ikabidi awe anafumba macho tu.

Baadaye akang'amua dhambi ya kujichua ndiyo iliyomsababishia shida hiyo. Akatubu sana kwa machozi na kumwahidi Mungu kuwa hatarudia tena. Ndani ya dakika chache tatizo hilo likaisha! Akaanza kuona vizuri kabisa bila kusumbuliwa na mwanga. Hakuendelea tena kutumia ile dawa na mpaka leo hajasikia tatizo lolote katika macho yake. Tangu siku ile aliacha kujichua na anaendelea kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
Fix.
 
Uonevu wa kutosha kabisa kabisa kabisa 😢
 
Back
Top Bottom