Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

Fanyeni utafiti sasa. Nakumbuka tulikuwa tukipiga punyeto mpaka kichwa kinauma ikiwemo pembenii ya macho. Sasa kwa nini punyeto isiathiri macho?
Kwa sababu hakuna uhusiano wowote kati ya macho na uume mkuu
 
Maandiko yafuatayo yanaonyesha wazi kujichua ni dhambi:
1 Wakorintho 3:16-17
"Je, hamjui kwamba nyinyi ni hekalu la Mungu, na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Basi, mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu; maana hekalu la Mungu ni takatifu, na hekalu hilo ni nyinyi wenyewe.”

Kujichua kunaleta madhara mengi ya kimwili. Ni kuuharibu mwili. Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu, hatupaswi kuiharibu.

Wagalatia 5:19-21
"Basi matendo ya mwili ni dhahiri, nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi, kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha kuwaonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama hayo, hawataurithi ufalme wa Mungu."

Kujichua ni tendo linalofanana na uasherati na uchafu

Wagalatia 5:16

"Basi nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili. Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka."

1 Petro 2:11
"Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho."

Mathayo 5:27-32
“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."

Mara nyingi kujichua huendana na kumtamani mwanamke/mwanaume fulani

Waefeso 5:3
"Lakini uasherati usitajwe miongoni mwenu kamwe, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa, kwa sababu mambo haya hayastahili miongoni mwa watakatifu wa Mungu."

Yuda 1:7
"Kumbukeni pia Sodoma na Gomora, na miji ya kandokando yake; wenyeji wake walifanya kama wale malaika; walifanya uzinzi na mambo yaliyo kinyume cha maumbile, wakapewa hukumu ya moto wa milele, iwe onyo kwa watu wote."

Kujichua ni tendo lililo kinyume na maumbile. Mungu alimuumba mwanaume na mwanamke, waishi pamoja katika ndoa. Mwanadamu hakuumbwa aishi peke yake na kujiridhisha kimwili. Ndio sababu tunaambiwa:
1 Wakorintho 7:9
"Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa."
Sasa hivi kutokana na hali mbaya ya MAGONJWA kama Ukimwi, gonorrhea, kaswende Fungus sugu na gharama za maisha + Udanganyifu katika mapenzi + Vitendo vya kishoga NI VEMA UKAWA UNAJICHUKULIA MWENYEW SHERIA MKONONI YANI UNAJICHUA Haina stress kabisa nakushauri na ww jifunze kujichua na maji ya moto
 
1. Hiyo dhana ya kwamba punyeto huleta upofu iliyoibuka marekani ilishathibitishwa kuwa ni uongo. Usipotoshe watu.

2. Punyeto ni uraibu mbaya, waathirika wanapaswa kusaidiwa na sio kunangwa. Wapiga punyeto ni waathirika, sio wahalifu.

3. Hatuchagui kuingia kwenye uraibu, uraibu unaharibu jinsi akili inavyofanya kazi, unakufanya kuwa tegemezi. Ndio maana kutoka ni mchakato.

4. Kama Mungu hataki watu wapige punyeto, asiruhusu watu wapige punyeto! Anakupa vichochezi, ubongo dhaifu na hisia za ngono halafu hataki upige punyeto?
We kweli mshamba!!! Acha kujichua ni dhambi kubwa kaka! Na ni kweli, ukiendelea utaharibu macho yako!
 
Sasa hivi kutokana na hali mbaya ya MAGONJWA kama Ukimwi, gonorrhea, kaswende Fungus sugu na gharama za maisha + Udanganyifu katika mapenzi + Vitendo vya kishoga NI VEMA UKAWA UNAJICHUKULIA MWENYEW SHERIA MKONONI YANI UNAJICHUA Haina stress kabisa nakushauri na ww jifunze kujichua na maji ya moto
Hata kujichua kunaleta magonjwa!!
 
Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa kipigo?

Mtu huyu alipigwa na Mungu mwenyewe. Ilikuwa hivi: alianza kuhisi hali isiyo ya kawaida katika macho yake. Akaenda kufanyiwa check-up katika hospitali kubwa, ya kisasa, yenye daktari aliyebobea katika kutibu magonjwa ya macho. Akaambiwa kuna vipele vipele vidogo pembezoni mwa macho (kwa ndani). Akapewa dawa ya kutumia wiki tatu na kuhakikishiwa kuwa shida hiyo itaisha kabisa.

Akaanza kutumia dawa, wiki ya kwanza ikapita bila nafuu. Wiki ya pili akaanza kusikia ahueni. Siku ya 14, hali ikabadilika ghafla. Akawa hawezi kabisa kutazama mwanga wowote ule - wa jua, wa tochi, wa taa, na hata mwanga wa simu! Akitazama tu mwanga kidogo unayachoma macho yake kama sindano na kumsababishia maumivu makali sana. Hivyo ikabidi awe anafumba macho tu.

Baadaye akang'amua dhambi ya kujichua ndiyo iliyomsababishia shida hiyo. Akatubu sana kwa machozi na kumwahidi Mungu kuwa hatarudia tena. Ndani ya dakika chache tatizo hilo likaisha! Akaanza kuona vizuri kabisa bila kusumbuliwa na mwanga. Hakuendelea tena kutumia ile dawa na mpaka leo hajasikia tatizo lolote katika macho yake. Tangu siku ile aliacha kujichua na anaendelea kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
tabia ya kusagana na kumeza p2 kwaajila ya uzinifu imweapa wanawake na wasichana wengi upofu wa kiroho,

nyuchi zimekua sugu na nyeusi mno, p2 zimesababisha kuvurugika kabisa kwa mfuma wa uzazi, wengi wanausugu wa kunasa mimba. P2 zimewafanya kua mafuska majasiri sana mtaani kwa uzinzi.

hata hivyo,
aise wanatoa mimba kama sadaka aise kama sadaka za kuteketeza madhabahuni kwa nabii, yaani mimba zinaporomoshwa kama ulivyoporomoka mlima oldonyolengai huko kaskazini dah,

ama kweli dunia ni tamabara bovu,
wanawake na wasichana wengi pia wanapendelea zaidi kufanya ngono kinyume cha maumbile, eti ndio fasheni , wanatoa vijambizi vyao kuwaridhisha wafanya ngono wenzao, Ni uharibifu wa kiwango cha juu sana wa nyuma na mbele,

siku hizi kuna wanawake kwa wanaume mafirauni. Ni vizuri wote hawa wakapata kipigo cha mbwa koko :NoGodNo:
 
Sasa hivi kutokana na hali mbaya ya MAGONJWA kama Ukimwi, gonorrhea, kaswende Fungus sugu na gharama za maisha + Udanganyifu katika mapenzi + Vitendo vya kishoga NI VEMA UKAWA UNAJICHUKULIA MWENYEW SHERIA MKONONI YANI UNAJICHUA Haina stress kabisa nakushauri na ww jifunze kujichua na maji ya moto
“Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.”(Mathayo 3:2)
 
Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa kipigo?

Mtu huyu alipigwa na Mungu mwenyewe. Ilikuwa hivi: alianza kuhisi hali isiyo ya kawaida katika macho yake. Akaenda kufanyiwa check-up katika hospitali kubwa, ya kisasa, yenye daktari aliyebobea katika kutibu magonjwa ya macho. Akaambiwa kuna vipele vipele vidogo pembezoni mwa macho (kwa ndani). Akapewa dawa ya kutumia wiki tatu na kuhakikishiwa kuwa shida hiyo itaisha kabisa.

Akaanza kutumia dawa, wiki ya kwanza ikapita bila nafuu. Wiki ya pili akaanza kusikia ahueni. Siku ya 14, hali ikabadilika ghafla. Akawa hawezi kabisa kutazama mwanga wowote ule - wa jua, wa tochi, wa taa, na hata mwanga wa simu! Akitazama tu mwanga kidogo unayachoma macho yake kama sindano na kumsababishia maumivu makali sana. Hivyo ikabidi awe anafumba macho tu.

Baadaye akang'amua dhambi ya kujichua ndiyo iliyomsababishia shida hiyo. Akatubu sana kwa machozi na kumwahidi Mungu kuwa hatarudia tena. Ndani ya dakika chache tatizo hilo likaisha! Akaanza kuona vizuri kabisa bila kusumbuliwa na mwanga. Hakuendelea tena kutumia ile dawa na mpaka leo hajasikia tatizo lolote katika macho yake. Tangu siku ile aliacha kujichua na anaendelea kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
Pia ukimwona kijana mdogo ana kipara au vinywele flani visivyo na afya mwangalie mara mbili mbili, mwambie acha! 😂
 
Back
Top Bottom