Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

Sio kila ugonjwa au ulemavu ni adhabu kutoka kwa Mungu.
Katika Injili ya Yohana 9:1-3, wanafunzi walimuuliza Yesu kuhusu mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa:
"Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa. Basi, wanafunzi wakamwuliza, 'Mwalimu! Ni nani aliyetenda dhambi: Mtu huyu, ama wazazi wake, hata akazaliwa kipofu?' Yesu akajibu, β€œJambo hili halikutukia kwa sababu ya dhambi zake yeye, wala dhambi za wazazi wake; ila alizaliwa kipofu ili nguvu ya Mungu ionekane ikifanya kazi ndani yake."

Ayubu alipatwa na majipu na mateso mengi lakini hakuwa ametenda dhambi. Alikuwa mkamilifu na mcha Mungu kwelikweli, lakini Mungu aliruhusu tu ajaribiwe(Ayu 1:1).

Hata hivyo Biblia inatufundisha kwamba kuna magonjwa yanayosababishwa na dhambi. Miriam alipata ukoma kwa sababu ya kumnena vibaya Musa(Hes 12:1-10)

Na wengine wanaugua kwa kuonewa na Ibilisi(Mdo 10:38)

Tukumbuke pia kwamba dunia hii imeathiriwa na anguko la wanadamu wa kwanza(Adam na Eva). Baada ya wao kufanya dhambi - magonjwa, ulemavu na mateso yaliingia duniani.

Umenipata, mkuu?
 
Kwahyo anayeadhibiwa ni mnyetukaji na sio wazibua mitaro na wazinzi wengine?
Wazinzi mbona wanapigwa sana tu.
Magonjwa haya yanawapata kina nani kwa wingi?
  • Ukimwi (HIV/AIDS)
  • Kaswende (Syphilis)
  • Kisonono (Gonorrhea)
  • Chlamydia
  • Herpes Simplex Virus (HSV)
  • HPV (Human Papillomavirus)
 
Punyeto ni hatari! Naweza kuamini punyeto Inaharibu mishipa ya macho. Kipindi hicho tunakua, unapiga punyeto mpaka mishipa ya kichwa pembeni ya macho inauma ukiisha pizi! Mungu ni mwema wengine tulitoka salama na nguvu kurudi upya labda kwa sababu tulikuwa bado tunakua. Namansisha tulipiga punyeti tukiwa na 16years hivi!

Ukipiga punyeto kwa wingi baada ya kukua mfano miaka 25 na kuendelelea, kuna hatari ukapata madhara ya kudumu mana viungo vinakuwa vimeishakomaa
 
Wewe
Ach uwongo aiseee mbona unakua hvo mkuu..
Hvi kuna uhusiano gani kati ya macho na uume explain with vivid examples
 
wazibua mitaro
Hujasoma Yuda 1:7 na 2 Petro 2:6-9? Wazibua mitaro waliadhibiwa vikali sana. Wao na miji yao walichomwa moto wakawa majivu. Alisalimika mtu mmoja tu na mkewe na mabinti zake.
Nadhani hata ile mioto ya Los Angeles, ni matokeo ya dhambi ya wazibua mitaro. Maeneo kama West Hollywood, Silver Lake, na sehemu za Hollywood kwa ujumla, yamekuwa na kiwango kikubwa cha ushoga na maisha ya LGBTQ+ kwa miongo mingi.
 
Natoa uzoefu labda madaktari waje watusaidie. Unapiga punyeto mpaka mishipa ya macho inauma!
Mimi mwenyewe ni dactaru ndo nakuambia sasa punyeto ina madhara kama yalivyo.maji...
Uki exceed limit utasumbuliwa tu
 
Huyo Mungu hajawahi kuwaadhibu wauaji wa hadharani na gizani, aje amwadhibu mtu anayejichua.

Ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…