Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

Ok,sawa kujichua kunakukera,vipi na kuchuliwa na mtu mwingine pia ni tatizo au,lakini pia siku hizi nasikia kuna pe**s massage,hii nayo imekaaje.
 
Duniani kuna mengi
 
Mtugawie sasa ili tusipige puli
 
Sote ni wafuasi wa YESU lakini content
zako unatakiwa uwe unaziangalia mara mbili mbili
 
Mwanzo 38:8 1Nya 2:3 Kisha Yuda akamwambia Onani, β€œKutana kimwili na mke wa ndugu yako, na utimize wajibu wako kwake kama mke wa ndugu yako, ili umpatie ndugu yako uzao.” Lakini Onani alijua kwamba uzao haungekuwa wake, kwa hiyo kila alipokutana kimwili na mke wa ndugu yake, alimwaga chini mbegu za kiume ili asimpatie ndugu yake uzao. Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa Bwana, hivyo, pia Bwana akamuua Onani.
 
Fix.
 
Uonevu wa kutosha kabisa kabisa kabisa 😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…