Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa Mtume Boniface Mwamposa, maarufu kama Bulldozer.

Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na kumzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?

Hebu msikilize mwenyewe, mkuu.

 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa mtume Boneface Mwamposa, Bulldozer.

Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu akamzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?

Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.

View attachment 3645012
Mimba ilipotea?Ikarudi🙌
Mimi ni mkristo lialia wa Kristo
Ngoja ninyamaze,, siwezi pingana na kazi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom