min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Naenda sambamba na mada bwashee😅Lakina wewe umewakomalia Walokole tu bwashee!
Mtakatifu Joseph wa Cupertino wa Wakatoliki aliyeishi miaka ya 1,600 alikuwa anapaa angani kama ndege, huyo ndio msimamazi wa marubani Wakatoliki 😁
Mtakatifu Anthony wa Padua alikuwa anafufua watu😁.
Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa anaweza kuonekana miji tofauti kwa wakati mmoja😁
Walokole unawaonea tu