Ufunuo gani unahitaji wakati mimba inaonekana hadharani mkuu?Hope atakua kanukuliwa vibaya.. miscommunication itakua imetokea na muanzisha thread kachukua point zake tatu kibindoni ☺️😊
NB. Mambo ya Mungu yamefunikwa na pazia zito ambalo normal human being hawezi akaelewa kirahisi so inaitaji UFUNUO kuelewa
Mamii,hv huwa unajua nikirudi nimeelewa unanipa Misa?😂😂unapenda kunitafutia dhambi wewe
Kwenye hiyo sekta sijifii aisee niko vyema,naweza kukuongoza ukafika mbinguni,tatizo usiangalie matendo😝Mamii,hv huwa unajua nikirudi nimeelewa unanipa Misa?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa Mtume Boniface Mwamposa, maarufu kama Bulldozer.
Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na kumzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?
Hebu msikilize mwenyewe, mkuu.
View attachment 3645012
HahahahaKwenye hiyo sekta sijifii aisee niko vyema,naweza kukuongoza ukafika mbinguni,tatizo usiangalie matendo😝