shem lake ukowapi lakini naumia mbavu 🙆🏽♀️Lakini wewe umewakomalia Walokole tu bwashee!
Mtakatifu Joseph wa Cupertino wa Wakatoliki aliyeishi miaka ya 1,600 alikuwa anapaa angani kama ndege, huyo ndio msimamazi wa marubani Wakatoliki 😁
Mtakatifu Anthony wa Padua alikuwa anafufua watu😁.
Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa anaweza kuonekana miji tofauti kwa wakati mmoja😁
Walokole unawaonea tu.
Merhabaaa🤸🏽♂️Thanks , shikamoo 😀
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa mtume Boneface Mwamposa, Bulldozer.
Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu akamzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?
Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.
Daah😁😁😁Mume ampate wapi wakati mimba kaipatia madhabahuni mkuu?😂😅🤣
😁Merhabaaa🤸🏽♂️
Chaumwa na chama cha majambazi🤣Mwamposa anatoa huduma kwa watu wa vyama vyote! HUZUIWI! 😅
.....ongeza na KUBET mkuu. CCM akiona hivi anafurahi sana aisee!😂😅🤣Hii nchi ina ujinga sn , Yani tangia asubuh Hadi jion NI mpira, mpira, mpira na mahubiri ya ajabu kuwapa watu ujinga na kuwapiga pesa zai, watawala wanalijua Hili so wanaenjoy jinsi tunapofocus kwenye ujinga badala ya mambo yenye tija......unatengenezewa umasikini ili uamini kwenye miujiza na kiburudisho chako NI Simba na Yanga
Sawa mama Yesu part 2 😂mimi ndo huyo dada alopokea muujiza kwa mtume, ni kweli kabisa mimba ilipotea na nimerudi, nimefurahi sana
Mm namkubali sana mwamposa, acha ajipigie pesa za wajinga wajinga, na hivi sadaka hazina kodi ahh n humu tuu 🔥Mwamposa piga maboya hao, mtume mnyakyusa