Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Yani sasa wanawake hapo ndio usiwambie. Make wangu kila siku chaneli yake ni ya suguye mara ukute ameweka mkono kwenye tivii aeti kaambiwa na suguye Yani huwa nachekea moyoni nasema hiiii!
Mpige marafu hawachelewi kutoa mali za familia kuwapa hawa manabii uchwara
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa mtume Boneface Mwamposa, Bulldozer.

Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu akamzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?

Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.

View attachment 3645012​
Wapumbavu ni wengi sana nchini.
 
Walokole na utahira ni damu damu
Mbona huu ni muujiza mdogo sana ukilinganisha na miujiza ya mwezi kupasuka vipande viwili na kujirudia wakati wa Muhammad, bikira kumzaa Yesu, jua kusimama kwa maombi ya Joshua, mikate kudondoka kutoka mbiguni wana Israel wakala, maji kutoka kwenye vidole vya Muhammad, Yona kumezwa na kukaa tumboni kwa Samaki siku tatu?!
 
Drama ni zile zile tu
 
Drama ni zile zile tu
Lakini wewe umewakomalia Walokole tu bwashee!

Mtakatifu Joseph wa Cupertino wa Wakatoliki aliyeishi miaka ya 1,600 alikuwa anapaa angani kama ndege, huyo ndio msimamazi wa marubani Wakatoliki ๐Ÿ˜

Mtakatifu Anthony wa Padua alikuwa anafufua watu๐Ÿ˜.

Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa anaweza kuonekana miji tofauti kwa wakati mmoja๐Ÿ˜

Walokole unawaonea tu.
 
Back
Top Bottom