Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Pigia yesu makofi
Hawa ni victims wa utapeli na usidhani wanakusudia. Ameshachota akili zao na ndiyo maana ''muujiza'' ambao wewe unaona ni kituko kama huo wa kupata mimba, wao wanaona ni jambo la kweli.Mkuu umenichekesha sana leo. Shemeji yangu mmoja kila mwaka anahama manabii na mitume. Alianzia kwa Mzee wa Upako, kisha akaenda kwa Mtalemwa na hatimaye akaibukia kwa Mwamposa. Humuambii kitu kuhusu Mwamposa. Ukitaka akupe pesa kwa urahisi, mwamvie umekosa nauli na sadaka ya Mwamposa. Hata milioni anakupa chap!
🤣🤣🤣🤣🤣,kwamba Hana mume🚶♀️Lakini akina mama ni wajasiri sana. Na ukute huyo ni singo mama.
Mwamposa anatoa huduma kwa watu wa vyama vyote! HUZUIWI! 😅Hizi trend za chama cha majambazi zinatia kinyaa sassa🤣🤣🤣
Watavuna wapandachoHizi trend za chama cha majambazi zinatia kinyaa sassa🤣🤣🤣
UNAKUFURU! ... kwahiyo wewe ni KAFIRI! 😠Roho mtakatifu kajipatia utelezi bila hata ruhusa ya mhusika, huu si ubakaji mbele ya madhabau jamani??!!
Anyway mtume baba mwamposa endelea kula vichwa hivyo mpaka akili ziwakae sawa.
😅 🔥Kuna mama mmoja tangu alipowasha redio ya Mwamposa hadi leo hajawahi kubadilisha stesheni na redio inawaka 24/7.
Makutano yamekuwa makubwa sana, WENYE KUJITAMBUA WANAAMBIWA WAACHIE BOTI!Anatuona kama mazombie! Ngoja tuone.
Pigie Yesu makofiMimba ilipotea?Ikarudi🙌
Mimi ni mkristo lialia wa Kristo
Ngoja ninyamaze,, siwezi pingana na kazi ya Mungu.
Upumbavu mtupu.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa mtume Boneface Mwamposa, Bulldozer.
Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu akamzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?
Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.