Huyo mtume na nabii ana ushirika wa moja kwa moja na majangiri ya ccmMkuu angalia vizuri utakuwa umekosea jukwaa. Hapa ni madhabahuni kwa Bulldozer
Mwenzao huyo.. Wote ni walewale😃Mkuu angalia vizuri utakuwa umekosea jukwaa. Hapa ni madhabahuni kwa Bulldozer😂😅🤣
Mimba ilipotea?Ikarudi🙌Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa mtume Boneface Mwamposa, Bulldozer.
Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu akamzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?
Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.
View attachment 3645012
Nacheka lakini naogopa sana 😅😅😅Aibu utaona wewe ndugu mtazamaji.
Hivi Mwamposa anatuonaje sisi jamani?Hizi trend za chama cha majambazi zinatia kinyaa sassa🤣🤣🤣