Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

Huyu mtu amefanya tena nimeichukia dini zaidi ya maelezo. Hivi kweli mtu atapataje mimba ghafla. Ningekuwa na uwezo siku moja niingie huko na bakora au mboko niwacharaze watu afu nifungue hata club na hayo maspeaker yao. Kuna mda unafika unadanganya hadi uongo unaisha duniani.
 
Hizi ni siku za mwisho. Ngoja "mitume na manabii" wapige pesa. Huo utume na unabii sijui nani kawapa
 
Hizi ni siku za mwisho. Ngoja "mitume na manabii" wapige pesa. Huo utume na unabii sijui nani kawapa?
ndugu hakuna kitu kama siku za mwisho na kama zipo hizo pesa wanazojipigia wao watazipeleka wapi. Unajua wana maudhi lakin hawajui tu
 

Utapeli kama utapeli mwingine. Tuache kuhadaa watu wa Mungu. Tutalaaniwa
 
Akili za mtu mweusi, ni shida sana
 
Acheni uwongo, mbona mnaenda kinyume na uhalisia?(nature). Reason comes first before faith.
 
Acheni uwongo, mbona mnaenda kinyume na uhalisia?(nature). Reason comes first before faith.
Mbona Yesu alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu? Boresha imani yako mkuu.
 
Mimba imekujaje ghafla wakati alishajiandaa kwa kuivalia hilo gauni?

Jamaa wanatuona wote wajinga.

Kwahiyo mimba za siku hizi zinapimwa kwa macho?!
Hope atakua kanukuliwa vibaya.. miscommunication itakua imetokea na muanzisha thread kachukua point zake tatu kibindoni ☺️😊

NB. Mambo ya Mungu yamefunikwa na pazia zito ambalo normal human being hawezi akaelewa kirahisi so inaitaji UFUNUO kuelewa
 
Mwamposa ningekuwa Rais wa hii nchi ningekufilisi kwa sababu ya huu utapeli wako. Na fedha yako yote ningeijazia na ile ya serikali na kwenda kununua mashine mbalimbali za kugundua magonjwa, na kuzigawa kwenye hospitali na vituo vya afya kote nchini.

Hili lingekuwa ni funzo kubwa kwa matapeli wote nchini wanaowaumiza wananchi wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…