Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
🤣🤣🤣🤣🤣Uzuri wa mwamposa anakutapeli huku umeridhika
Ndege haikuwa na viti?View attachment 2986732
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......
Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Hakuna muujiza wowote hapo.View attachment 2986732
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......
Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Walikaaje?Hakuna muujiza wowote hapo.
Naamini ndege haikuwa na viti.
MmekutanaWewe huwa sio wa kuamini haraka haraka
Pilots maalum wanajua namna ya kuyapurusha na kuyatua madege hayo katika mazingira magumu.Walikaaje?
Kumbe kuna wadada wana makanisa uvunguni 😂😂Hakuna muujiza wowote hapo.
Naamini ndege haikuwa na viti. Huenda likikuwa dege la "jeshi" kubwa kama kanisa !
Ethiopian Airlines?Pilots maalum wanajua namna ya kuyqpuruha na kuyatua madege hayo katika mazingira magumu.
Mwaka fulani Airbus kuubwaaa lilitua uwanja wa Arusha kwa dharura,unakumbuka? Kila mtu alistaajabu.
Kwani huwezi kusafiri kwenye ndege bila kufunga mkanda?Walikaaje?
Walifungaje mkanda?
Sijawahi kusikia hilo.Pilots maalum wanajua namna ya kuyqpuruha na kuyatua madege hayo katika mazingira magumu.
Mwaka fulani Airbus kuubwaaa lilitua uwanja wa Arusha kwa dharura,unakumbuka? Kila mtu alistaajabu.
Nani kakuambia? Hicho ni kipindi homa ya uti wa mgongo ilikuwa tishioKwanyakati hizo nadhani nisawa kwakua hata magonjwa ya mlipuko ilikua hakuna..
Kwani ndio mimi niliyesema kihasibu manunuzi ya Yanga kumnunua Aziz K kwa 400 mil ni hasara?Wewe huwa sio wa kuamini haraka haraka
Purukushani zile za angani wakati wa kubadilisha miruko, kutua, n.k. bila kufunga mikanda itakuwaje?Kwani huwezi kusafiri kwenye ndege bila kufunga mkanda?
Magonjwa ya mlipuko yapo duniani kabla hata Yesu hajazaliwa.Kwanyakati hizo nadhani nisawa kwakua hata magonjwa ya mlipuko ilikua hakuna..