Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
1715344124237.jpg

REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......

Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
 
View attachment 2986732

Ndege haikuwa na viti?

Waliwezaje kufunga mikanda?
 
View attachment 2986732

REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......

Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Hakuna muujiza wowote hapo.
Naamini ndege haikuwa na viti. Huenda likikuwa dege la "jeshi" kubwa kama kanisa !
 
Pilots maalum wanajua namna ya kuyqpuruha na kuyatua madege hayo katika mazingira magumu.
Mwaka fulani Airbus kuubwaaa lilitua uwanja wa Arusha kwa dharura,unakumbuka? Kila mtu alistaajabu.
Sijawahi kusikia hilo.

Lakini inawezekanaje kusafiri kwa ndege bila kufunga mikanda?
 
Back
Top Bottom