Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

Hatari.....kwa Sasa hao ni raia wa Israel.
 
Mimi huwaxmara nyingi sifungi mkandaaa niko sawa tuuu
Ni sawa mkuu ila usijizoeshe! Ni hatari sana ikipita penye "turbulence" ikiwa hujafunga mkanda.

Nimekubali hiyo iliyokuwa imewabeba hao Wayahudi haikuwa na viti. Bila shaka vilitolewa ili kupata nafasi ya kupakia abiria wengi zaidi.

Kufunga mikanda ni muhimu, isipokuwa tu pale unaporuhusiwa vinginevyo na wahudumu wa kwenye ndege.
 
Sidhani kama kuna rubani atakayekubali kurushwa ndege ambayo abiria wake hawajafunga mikanda. Ni hatari sana. Kuna watu walishapoteza maisha kwa sababu tu walipuuzia kufunga mikanda walipokuwa kwenye ndege.
Mwaka juzi tu hapa ndege ya mizigo ya marekani ambayo haina viti ilipakia abiria kibao na wengi wao walisimama. Nadhani kuna wawili walifariki baada ya kuanguka wakati wa kuingia.
 
Mwaka juzi tu hapa ndege ya mizigo ya marekani ambayo haina viti ilipakia abiria kibao na wengi wao walisimama. Nadhani kuna wawili walifariki baada ya kuanguka wakati wa kuingia.
Aisee!

Ilikuwa wapi mkuu?

Sipati picha kusimama kwenye pipa likikatiza mawinguni. Yahitaji moyo.
 
Boeing 747 bila viti inaweza kuwabeba hao watu, lile dude ni kubwa mno. Hata wakati US wanaondoka Afghanistan zile chuma za jeshi zilinyenyuka na raia kibao idadi karibu na hiyo.
 
K
Kwamba Jerusalem iko Israel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…