Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya.

Kapotea Ben Saanane wapo kimya.

Kapotea Azory Gwanda wapo kimya.

Orodha ni ndefu sana....

Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
Labda wakupoteze wewe kwanza ndio tuingie barabarani kama hao wakenya😂

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya.

Kapotea Ben Saanane wapo kimya.

Kapotea Azory Gwanda wapo kimya.

Orodha ni ndefu sana....

Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
Mtu akitumia neno tu "ndugu" huyo ni mnafiki mkubwa. Siajabu ndugu zako wa tumbo moja huna msaada nao.
 
Wanajipa presha sana kwa vitu ambavyo wananchi hawana time kabisa..
Hata polepole wasingeagaika nae hata Lissu kumfunga hakuna kitu kingebadilika hata wangetoa rerfoms tena ingekua kete kwa Watawala kuombea kura wangeonekana wana democrasia wangepata kura nyingi
 
Barabarani ndio target yetu ?; Kwamba tukiingia ndio ushindi ?

Usishangae hao watawala wakatumia comment kama zako au mawazo yako kwa ku-dilute hoja zako kwamba badala ya mpambanaji ni Hooligan / blood thirsty....

NB: By the way hakuna maandamo mazuri na ya kuigwa mfano waliyofanya Gen Z mwanzoni kabisa, ingawa nayo Serikali baadae ilianze kuya- infiltrate na goons (Kenge kwenye Msafara wa Mamba), Hence be aware na Kenge
 
Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya.

Kapotea Ben Saanane wapo kimya.

Kapotea Azory Gwanda wapo kimya.

Orodha ni ndefu sana....

Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
Wakenya wanaingia barabarani kwa ajili ya #FreeSomebody. Ila kila wakiingia wanakufa wengine kwa vipigo na wengine wanavunjwa viungo vya mwili ma kupata permanent disabilities

Nakushauri Idugunde kama unawaonea wivu Kenya kwa kuingia
 
Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya.

Kapotea Ben Saanane wapo kimya.

Kapotea Azory Gwanda wapo kimya.

Orodha ni ndefu sana....

Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
Ukienda MKIRU watu waliouawa ni zaidi ya 300 na watu wapo kimya ,labda Dully akitekwa ndiyo issue nzima ya utekaji itaisha maana urafiki wa wachawi haudumu.
 
Back
Top Bottom