Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

Hata polepole wasingeagaika nae hata Lissu kumfunga hakuna kitu kingebadilika hata wangetoa rerfoms tena ingekua kete kwa Watawala kuombea kura wangeonekana wana democrasia wangepata kura nyingi
Basi tu—watu wameshaichoka CCM. Kukiwa na level playing field, sitashangaa CCM ikipigika. CCM haishindani fairly. Inatumia vyombo vya dola kuvidhoofisha vyama vya upinzani.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mafwele akipotezwa ndio wataandamana kumlilia mtu anaye wanyoosha, angalizo, hata yeye atakuwa mzoga wa futi sita Siku moja - sijui ni Kwa nini anawarahisishia wenzake maisha ya kaburini kama inavyodaiwa na sources mbalimbali?
 
barabarani kwa ajili ya #FreeSomebody. Ila kila wakiingia wanakufa wengine kwa vipigo na wengine wanavunjwa viungo vya mwili ma kupata permanent disabilities

Nakushauri Idugunde kama unawaonea wivu Kenya kwa kuingia
[/QUOTE]
Amani haiji bila watu kuvunjwa miguu
Labda wakupoteze wewe kwanza ndio tuingie barabarani kama hao wakenya😂

Cc: Mimi Wewe Yule
Sawa
 
Wakenya wanaingia barabarani kwa ajili ya #FreeSomebody. Ila kila wakiingia wanakufa wengine kwa vipigo na wengine wanavunjwa viungo vya mwili ma kupata permanent disabilities

Nakushauri Idugunde kama unawaonea wivu Kenya kwa kuingia
Hauna cha kunishauri wewe bwege.
 
Back
Top Bottom