Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji38]App ya JF imelalamikiwa miaka nenda rudi haifanyiwi marekebisho yoyote (DHARAU KWA WATEJA)
BADO NAENDELEA KUAMINI KITU PEKEE AMBACHO MTANZANIA ANAWEZA KUFANYA KWA UFASAHA NI KUPULIZA MAPUTO NA YAKAJAA, BASI.
Hili tatizo nimeliona piaYani hii APP kinachonikera mimi ni repetition of topics. Unaweza ukascroll kwa dakika kumi, topic (thread) nne tu ndo zinajirudia na wakati zipo kibao ambazo hazionekani kwa kutopata airtime.
Ukitumia browser ndo unaona threads za kutosha
Marekebisho yapo.App ya JF imelalamikiwa miaka nenda rudi haifanyiwi marekebisho yoyote (DHARAU KWA WATEJA)
BADO NAENDELEA KUAMINI KITU PEKEE AMBACHO MTANZANIA ANAWEZA KUFANYA KWA UFASAHA NI KUPULIZA MAPUTO NA YAKAJAA, BASI.
Halafu kati ya vitu huwa sivitetemekei ni BAN yaani hata wanipe ya miaka 6 nitaendelea kuishi bila wasiwasi wowote na akaunti nyingine 30 zilizobaki.
Tumia Tapatalk at least inapataga hata updates! Hili official JF app ni jau, sijui mara ya ya mwisho ku updatiwa ilikua mwaka jana huko..Habari zenu wakuu.
Sijajua ni maboresho au raha.Hii App ya Jamiiforums inastack sana kuna muda unascroll down vitu vinaganda havitembei ikikaa sekunde kadhaa ndio inakubali.
Nimejaribu kufuta Cache wapi.Kufuta hii App na kuindownload upya.Tatizo liko pale pale.Msaada wenu wakuu.
Maana inaniboer kweli.
Ahsante sana ngoja nirudi TapatalkTumia Tapatalk at least inapataga hata updates! Hili official JF app ni jau, sijui mara ya ya mwisho ku updatiwa ilikua mwaka jana huko..
Japo kuna muda hata tapatalk nayo ilikuwa jau.Tumia Tapatalk at least inapataga hata updates! Hili official JF app ni jau, sijui mara ya ya mwisho ku updatiwa ilikua mwaka jana huko..
Habari zenu wakuu.
Sijajua ni maboresho au raha.Hii App ya Jamiiforums inastack sana kuna muda unascroll down vitu vinaganda havitembei ikikaa sekunde kadhaa ndio inakubali.
Nimejaribu kufuta Cache wapi.Kufuta hii App na kuindownload upya.Tatizo liko pale pale.Msaada wenu wakuu.
Maana inaniboer kweli.
Tatizo lipo kwa wengi bro hata kwangu hilo tatizo lipoMe yakwangu iko perfect kabisa haina shida so maybe sim unayotumia
Unatumia computer muda wote unaoingia JF?Poleni sana...
Kwa sisi tunaotumia browser kwenye Computer hakuna tatizo lolote...
Ndiyo... Desktop na laptop vyote...Unatumia computer muda wote unaoingia JF?