App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Yani hii APP kinachonikera mimi ni repetition of topics. Unaweza ukascroll kwa dakika kumi, topic (thread) nne tu ndo zinajirudia na wakati zipo kibao ambazo hazionekani kwa kutopata airtime.

Ukitumia browser ndo unaona threads za kutosha
Hili tatizo nimeliona pia
 
App ya JF imelalamikiwa miaka nenda rudi haifanyiwi marekebisho yoyote (DHARAU KWA WATEJA)

BADO NAENDELEA KUAMINI KITU PEKEE AMBACHO MTANZANIA ANAWEZA KUFANYA KWA UFASAHA NI KUPULIZA MAPUTO NA YAKAJAA, BASI.
Marekebisho yapo.
Tuna blue tick kwa mfano.
Sidhani kama wamedharau.
Labda kuna changamoto wanapitia. Inaweza kuwa ya kiufundi au vinginevyo. Jamaa wanatupenda sana.
Mara nyingi pia wameburuzwa mpaka mahakamani kwa ajili yetu.
 
[emoji38]
Hujaacha tu ukorofi wako!.
Subiri ban[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kati ya vitu huwa sivitetemekei ni BAN yaani hata wanipe ya miaka 6 nitaendelea kuishi bila wasiwasi wowote na akaunti nyingine 30 zilizobaki.

JF bado ni mtandao mdogo ndiyo maana bado una access ya kufuatilia watu wa kuwapa Ban. Mitandao mikubwa haiwezi kufanya huo ujinga.
 
Habari zenu wakuu.
Sijajua ni maboresho au raha.Hii App ya Jamiiforums inastack sana kuna muda unascroll down vitu vinaganda havitembei ikikaa sekunde kadhaa ndio inakubali.
Nimejaribu kufuta Cache wapi.Kufuta hii App na kuindownload upya.Tatizo liko pale pale.Msaada wenu wakuu.

Maana inaniboer kweli.
 
Tumia Tapatalk at least inapataga hata updates! Hili official JF app ni jau, sijui mara ya ya mwisho ku updatiwa ilikua mwaka jana huko..
 
Moderator app yangu inamiss vitu vingi hata kuVOTE haikubali kuna nyingine maana haya some attachments haifungui

Nipe.mwongozo pia
 
Habari zenu wakuu.
Sijajua ni maboresho au raha.Hii App ya Jamiiforums inastack sana kuna muda unascroll down vitu vinaganda havitembei ikikaa sekunde kadhaa ndio inakubali.
Nimejaribu kufuta Cache wapi.Kufuta hii App na kuindownload upya.Tatizo liko pale pale.Msaada wenu wakuu.

Maana inaniboer kweli.

Nadhani ulimaanisha stuck na sio stack.

Tuipende lugha yetu jadidi
 
Me yakwangu iko perfect kabisa haina shida so maybe sim unayotumia
 
Back
Top Bottom