Kuna watu si wapenzi wa product za apple mfano mimi pia si mpenzi wa apple products maana zipo limited na hazina apps nyingi halafu apps ambazo android napata free kule unanunua .Watu mna hela yaani iphone ipo tu ndani unatumia android dah
Tutumie nini ?Acha kutumia jamii forum mkuu,tumechoka
Tumia gongoTutumie nini ?
TrueTumia browser kama chrome
App imebuma
Muwe mnaangalia pahala pa kuleta utani na kunyamaza ....jifunze kufikiri kabla ya kufunga mdomo.Tumia gongo