App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Hii app mpya inatumia taarifa za chrome... Ukilogout chrome imelog out na kwenye ka app 🥴🥴
 
Screenshot
1621593193060.png
 
Mkuu Max ,nashukuru sana kwa features mpya!

Kwangu imefanya kazi

Japo nimeshazoea ile app ya play store ila najua una nia njema kuhamia huku!

Chini kabisa kwenye browser kuna Add inaelekeza kwenye group la Telegram.

Naomba kujua kama hyo add Siyo SCAM

Nimeweka attachment hapo chini

View attachment 1791304
Mkuu unatatizo la kutosoma Notification
 
Utakuwa ni uamuzi wa "hovyo" sana kama mtaachana na app iliyopo google store..hii shortcut sio app na tuliozoea app hii sio user friend kwetu..
Maxence Melo
Hapana mkuu App bado ipo Playstore na hata Appstore. Sema Hii imeongezwa kama screen page isaidie kwa watu ambao hawatembelei Maduka ya Google, pia hii inasaidia kwa Watu ambao simu zao hazisapoti Appstore kama Huawei.
Japo siku zijazo ndo itaondolewa(Huenda wanasababu zao wenyewe)

Karibu
 
Hii app mpyani mbovu haki bora muache tu hii tuliyoizoea hii mpya ni kama vile unabrowse tu yaani n kero tupu. Ni maoni yangu lakini
 
Back
Top Bottom