App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
siku zote nimekuwa nikifikiri ni mimi tu ninayeona jf ya chrome ni nzuri kuliko ya playstore.

kazi nzuri,boresheni na theme ziwe zaidi ya hizi mbili,ongezeni na nyeupe kabisa.
JF ya crome ni nzuri tatizo ni shujaa wetu tu ametutoka!😂😂😂
 
Je kwene hii App kuna option yaku back bila kutumia botton yasimu kama ilivyokuawa kwene App ya awali..?
simu yangu imekufa back button ko kwene ile App ya awali nilikua natililila tu mana kulikua na hivyo vimshale
<--- na ----> lkn kwene hii App mpya siion hii mishale Msaada tafadhali
 
Mwonekano ni wa app , umekaa kama browser ,
Jamani kwenye hii app mpya mtuwekee utaratibu ule ule wa app ya zamani wa kufungua thread na kushuka nayo moja kwa moja mpaka chini. Haya maswala ya kufungua page 1, 2, 3 page 20 yanakera sana!
Kwakweli tuliozoea app ndio tunapata taabu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti kati ya ku add SHORTCUT na ku INSTALL MAIN APPLICATION/SOFTWARE just saying 😊.

I will stick with jamiiforums application labda na yenyewe muinyime access ya saver zenu .
 
Kuna zile uzi tumesubscribe mbona kwenye hii maboresho sioni kipengele cha subscribed?
 
Ndio changamoto tunaozipata watu wa app.

Ila kuna watu wanasifia
Nawashangaa sana

Kweli hatufanani
Kilio chetu na sisi wa app tufikiriwe matakwa yetu.

Mm kiukweli browser bado sijaielewa.

Kwa mfano Instagram ndio naona wamepatia huoni utofauti wa app na ukifungulia ktk browser.

Muonekano uwe sawa mtu asione utofauti.

Lakini kwa hili wengine tutabak na app labda umdelete.
Someone said "Utamu wa pipi ni mate yako"
 
App ni ya hovyo kabisa yani imenipa taabu kuitumia,nimeifuta saivi natumia ile ya zamani.Nishazoea kutiririka ila hii ina sijui page 1,2,3...

Kama mtaondoa app ya zamani sitaona tena umuhimu wa Jf.
 
Kwa wale watumiaji wa freebasics.com inafanya kazi?
Bando likikata huwa najirusha na freebasics kupitia Halotel
Unatumia wapi Freebasic App au kupitia Browser mbona mimi halotel haileti JF yaani haipo
 
Niliandika NONDO ndefu ila daah kuzimazima data huku
 
Kuongeza,hii ni kwa sisi android usersl!!!

Kwenye browser lazima u-log in kwanza ili uweze kuona option ya ku-downloud hii app. hii ni changamoto nimekutana nayo ila ndogo sana ukiwa mtu wa kujiongeza.
 
Back
Top Bottom