King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mkuu ingia jamiiforums kwanza kwa kutumia google chrome ndio utaona hiyo sehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mkuu ingia jamiiforums kwanza kwa kutumia google chrome ndio utaona hiyo sehemu.
SaitaaNimeipenda ...user friendly. Hongereni mkuu!!
JF app ya playstore inamuonekano mzuri kwa upande wangu. Pia rahisi kutumia.Nitaumiss sana huu muonekano wa app.👇
View attachment 1791523
Huu muonekano mpya haujanibariki kabisa kabisa.
View attachment 1791524
Fanyeni namna taarifa kama hii iwafikie members woote! WooteKaribu kiongozi
Mkuu kama itakupendeza hii iweke kama "News Alert" tena kwa rangi ya mng'ao na iwepo front page ili kila member apate taarifa.Juu ya Search kuna ICON ya DOWNLOAD (mbele yake kuna icon ya zooming kabla ya nyota).
Bonyeza hapo
Je ili ku Install hiyo Mpya sharti ya zamani ni Niitoe kwanza?Naam wakuu,
Kwa mara nyingine tumeona tuboreshe huduma ya JF ili izidi kuwa rahisi kutumia.
Kwa sasa unaweza ku-Install JF App kwa PC au Tablet (iPad zikiwemo) na Simu za Mkononi (Android na iPhones).
FAIDA:
1) Ni rahisi kutumia na haina tofauti yoyote na main site, hakutakuwa na malalamiko tena kuwa kuna kukosa notifications au kushindwa kufanya actions kadhaa
2) Ni rahisi kufunguka kuliko unavyodhania. Installation yake inachukua sekunde moja au pungufu. Haichukui space kwenye simu yako au kifaa chako
3) Ukiwa offline, bado kuna content utakuwa na access nayo kwa urahisi zaidi. Hulazimiki kuwa mtandaoni
4) na mengine mengi
Hatua za kufuata:
Kwa wanaotumia PC:
Tembelea JF kwa kutumia Google Chrome Browser, kisha utaona sehemu kama hii kwenye browser yako:
View attachment 1791283
View attachment 1791292
Kisha bonyeza Install kama inavyoonekana hapa chini:
View attachment 1791284
Utaona tayari unayo App kwenye PC yako. Kuanzia hapo hutokuwa ukilazimika kutembelea tovuti kwa njia ya browsing ya kawaida.
Mfano, mwenye Macbkook ataona icon ya App ya JF ikiwa hivi:
View attachment 1791290
Kwa wanaotumia Android Devices:
Tumia Google Chrome (au native browser ya simu yako):
Bonyeza mistari mitatu iliyo kushoto mwa LOGO ya JamiiForums, utaona kitu kama hiki chini:
View attachment 1791285
View attachment 1791286
Bonyeza INSTALL kisha utaona hivi (itachukua sekunde 1 ku-Install)
View attachment 1791287
Kwa wanaotumia iPhone au iOS devices:
Tumia Safari Browser, bonyeza sehemu hizi zilizozungushiwa na fuata maelekezo kwenye simu... Just add to your device's home screen.
View attachment 1791288
View attachment 1791289
Ukikwama usisite kuuliza, tupo kwa ajili yako.
TAKE NOTE: Siku zijazo tutaondoa App zilizopo kwenye Google na Apple stores!
Karibuni
Hapana, you can have them both. Ila, soon utaelewa why this change is inevitable 😎Je ili ku Install hiyo Mpya sharti ya zamani ni Niitoe kwanza?
Nitaumiss sana huu muonekano wa app.[emoji116]
View attachment 1791523
Huu muonekano mpya haujanibariki kabisa kabisa.
View attachment 1791524