App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Mkuu Max ,nashukuru sana kwa features mpya!

Kwangu imefanya kazi

Japo nimeshazoea ile app ya play store ila najua una nia njema kuhamia huku!

Chini kabisa kwenye browser kuna Add inaelekeza kwenye group la Telegram.

Naomba kujua kama hyo add Siyo SCAM

Nimeweka attachment hapo chini

View attachment 1791304
Mkuu, hizo notification 6,000+ imekaaje hiyo? 😂😂
Kwamba huwa huaangalii notification au 😂😂
 
Mwonekano ni wa app , umekaa kama browser ,
Jamani kwenye hii app mpya mtuwekee utaratibu ule ule wa app ya zamani wa kufungua thread na kushuka nayo moja kwa moja mpaka chini. Haya maswala ya kufungua page 1, 2, 3 page 20 yanakera sana!
 
Maxence Melo, sijui kama ni mimi tu au ni hii extension, sioni subscribed, participated threads etc.
Hata mm mkuu. Ndio maana sijaisifia kabisa. Huon subscribed,participated.

Ktk app huangaiki kutafuta hivyo.
Ndio maana nimeshindwa kufuta app ya jf ya zaman.
 
Hii app mpya ni kali kinoma! Inanikumbusha enzi hizo za operamini/WEB browsing ilikuwa poa sana na huwa inaleta addiction sana!

Pia nimeona picha zinafunguka kwa HD quality safi kabisa! Hongereni sana JamiiForums Maxence Melo

Wacha nijaribu upande wa video nione kisha nitaongezea feedbacks.
 
Mwonekano ni wa app , umekaa kama browser ,
Jamani kwenye hii app mpya mtuwekee utaratibu ule ule wa app ya zamani wa kufungua thread na kushuka nayo moja kwa moja mpaka chini. Haya maswala ya kufungua page 1, 2, 3 page 20 yanakera sana!
Ndio changamoto tunaozipata watu wa app.

Ila kuna watu wanasifia
Nawashangaa sana

Kweli hatufanani
Kilio chetu na sisi wa app tufikiriwe matakwa yetu.

Mm kiukweli browser bado sijaielewa.

Kwa mfano Instagram ndio naona wamepatia huoni utofauti wa app na ukifungulia ktk browser.

Muonekano uwe sawa mtu asione utofauti.

Lakini kwa hili wengine tutabak na app labda umdelete.
 
Hata mm mkuu. Ndio maana sijaisifia kabisa. Huon subscribed,participated.

Ktk app huangaiki kutafuta hivyo.
Ndio maana nimeshindwa kufuta app ya jf ya zaman.
Kiukweli hata me upande wangu sijaielewa kabisa, haiko user friendly kama ilivyo kwenye Jf app.
 
Hio sio APP..hio ni browser tu. Tofauti haufungui browswer kuifata, unaiweka kama screen kwenye simu tu. Hamna jipya. Bora ingeachwa app ya zamani. Taasisi kubwa kama JF mnashindwa kua na APP au kutengeneza APP yenye standard za kimataifa. Mnashindwa hata na app zingine za kibongo
Nafahamu kuwa hii sio app, ndio maana nimeiita extension in the first place in my original post.
 
Hio sio APP..hio ni browser tu. Tofauti haufungui browswer kuifata, unaiweka kama screen kwenye simu tu. Hamna jipya. Bora ingeachwa app ya zamani. Taasisi kubwa kama JF mnashindwa kua na APP au kutengeneza APP yenye standard za kimataifa. Mnashindwa hata na app zingine za kibongo
Naunga mkono hoja.

Kwa mfano wazee mikeka
Tunapata tabu kuupata uzi wetu pendwa.

Lakin ukiwa upande wa app mambo ni mswano tu[emoji3]
 
Ile Browser uliyotumia kuinstall hii App hupaswi kuifuta. Uki uninstall browser na app inapotea.
Screenshot_20210520-134854.png
Screenshot_20210520-134854.png
 
Back
Top Bottom