Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

mbona wanawachokora na madole? Tatizo nini? Ethiopia anataka Kismayo kama sea gateway kujiweka tayari incase Egypt inalianzisha!
Tatizo pengine ni kuwa hakuna communication kati ya Kenya na majeshi haya ya Ethiopia kama vile Israel na Russia wanafanya huko Syria ili kuzuia majanga kama haya.
 
Sasa kama Ethiopia yenye kuhitaji kuungwa mkono lakini ndio yenye kuanzisha chokochoko kwa kuzidungua ndege za Kenya, huoni kwamba Ethiopia inaidharau Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiopia hawezi tegemea Kenya impe backup kwenye swala la mto Nile. Go back to your history books.
 
Kwanini wasipige ndege za Kdf , kdf carries out airstrikes in Somalia every now and then. Furthermore kdf denied Ethiopians entry into kismayu since last year si wangekuwa wametushambulia ili wadhibiti kismayu na Jubaland.
 
Sasa kama Ethiopia yenye kuhitaji kuungwa mkono lakini ndio yenye kuanzisha chokochoko kwa kuzidungua ndege za Kenya, huoni kwamba Ethiopia inaidharau Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa ni dharau kutoka Ethiopia au pia inaweza kuwa ni accident kama wanavyojitetea kwamba walidhani ni ndege ya adui. Lakini imefanyika mara mbili kwa hivyo sidhani kama ni accident. Kuna kusudio hapa. Ila Kenya nadhani itabidi aidha iwache kutumia anga hio au ifanye mazungumzo na Ethiopia.
 
Kwanini wasipige ndege za Kdf , kdf carries out airstrikes in Somalia every now and then. Furthermore kdf denied Ethiopians entry into kismayu since last year si wangekuwa wametushambulia ili wadhibiti kismayu na jubaland .
KDF ndani ya Somalia wapo chini ya AMISOM, kushambulia KDF ni kuishambulia AU, Ethiopia haiwezi shambulia KDF ndani ya Somalia moja kwa moja, lazima kuweko na kisingizio au sababu ya kuwashambulia KDF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapaswa kujibu kwa nguvu zote ili wajue kwamba Kenya sio nchi ya kuchezewa na kujaribiwa, vinginevyo wakigundua kwamba mnawaogopa wataendelea kuwadhalilisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapaswa kujibu kwa nguvu zote ili wajue kwamba Kenya sio nchi ya kuchezewa na kujaribiwa, vinginevyo wakigundua kwamba mnawaogopa wataendelea kuwadhalilisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu zinapigwa ndege za kiraia anasema zingepigwa za jeshi,kuna haja ya kuendelea kumuelewesha huyo! Inaomekana hata hajui kazi ya jeshi ni kitu gani.
 

It's a paper tiger flexing its muscles, as you have said. The numbers they have in their inventory can't be confirmed if they are in serviceable condition. Especially their air force.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…