Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Ethiopian Troops In Somalia Shoot At Another Kenyan Plane

Kenyan-plan-shot-in-Somalia.jpg

Another Kenyan plane was shot at today allegedly by Ethiopian troops in Qansahdere, Bay Region in Somalia, sources have told Kahawa Tungu.

The plane was carrying humanitarian aid when it caught fire mid-air after the shooting.
Photos shared online show the plane with bullet holes as a result of the shooting.

Plane-somalia-2.jpg
No fatalities or injuries have been reported from the incidence, with the Somali, Kenyan and Ethiopian governments yet to issue a statement on the same.

The plane, registration number 5Y-VVA, used to be operated by Blue Bird Aviation but it was later sold it to Kenya School of Flying/Aeronav.

Source: Kahawatungu.com

MY TAKE: Is this the same Ethiopia that Kenyans were bragging of being bailed out maize supplies after Tanzania shut down her border?

#Akilizahandshake#

Geza Ulole,

Naona bado Magu anang'ang'ana kusamehewa Deni. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.
 
Naona bado Magu anang'ang'ana kusamehewa Deni
Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.
Magu anawaz akusamehewa madeni tu[emoji1787][emoji1787]
 
Geza Ulole,

If these crazies want war they should be brave enough to declare it openly instead of shooting our planes down and then apologizing.
 
Hahah ati this Kenya of urs want to toss it out with Ethiopia! Do u have even enough food to eat as u speak to even think of the situation once the mtiti has started? Or u believe Tanzania will supply u food during ur wars while it is obvious u will be not able to afford!
 
Lengo la Ethiopia ni kuwachokoza KDF ili wajibu mapigo wapate sababu ya kuwafukuza KDF kutoka ardhi ya Somalia ili wakamate Jubaland na kuirudisha mikononi mwa Farmajoo.

Kenya inajua hawana uwezo wa kuwashinda Ethiopia "militarily', kamwe KDF haiwezi kujibu mapigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mimi huwa nafuatilia siasa za Ethiopia kwa karibu sana hata kushinda za Tanzania au Uganda. Isitoshe mimi pengine ndio mtu pekee hapa jf aliyewahi kuingia Ethiopia kuanzia mashinani, maeneo za Oromo, Hawassa hadi Addis Ababa. Wacha nikufahamishe kuwa Ethiopia saa hii ina mgogoro mkali sana na Egypt kuhusu bwawa la Gerd.

Hii ni baada ya Ethiopia kukataa kutia saini makubaliano ya water sharing agreement na Egypt ikisema kuwa US inainterfere na negotiation. Ethiopia inasema itaanza water filling this July. Egypt inatishia kulipua hio dam kwa kutumia ndege za kivita. Ethiopia haiwezi kushinda Egypt kwenye vita. Sasa kuna tension kati ya hizi nchi mbili. Ethiopia inahitaji Kenya na Uganda tuwe upande wake ili kuendelea na majadiliano na Egypt. Sidhani Ethiopia inaweza pigana vita na nchi mbili Kenya na Egypt kwa wakati mmoja.
 
If these crazies want war they should be brave enough to declare it openly instead of shooting our planes down and then apologizing.
The fact that they attack your planes, it is your responsibility to declare war as response. IDD Amin did not declare war, he attacked Tanzania, we were the one to respond by declaring war.

Unless you are afraid to declear war (which is fact), Ethiopia shall continue to provoke you, and possible impregnate all KDF solders in Somalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mimi huwa nafuatilia siasa za Ethiopia kwa karibu sana hata kushinda za Tanzania au Uganda. Isitoshe mimi pengine ndio mtu pekee hapa JF aliyewahi kuingia Ethiopia kuanzia mashinani, maeneo za Oromo, Hawassa hadi Addis Ababa. Wacha nikufahamishe kuwa Ethiopia saa hii ina mgogoro mkali sana na Egypt kuhusu bwawa la Gerd. Hii ni baada ya Ethiopia kukataa kutia saini makubaliano ya water sharing agreement na Egypt ikisema kuwa US inainterfere na negotiation. Ethiopia inasema itaanza water filling this July. Egypt inatishia kulipua hio dam kwa kutumia ndege za kivita. Ethiopia haiwezi kushinda Egypt kwenye vita. Sasa kuna tension kati ya hizi nchi mbili. Ethiopia inahitaji Kenya na Uganda tuwe upande wake ili kuendelea na majadiliano na Egypt. Sidhani Ethiopia inaweza pigana vita na nchi mbili Kenya na Egypt kwa wakati mmoja.
Kwanini Ethiopia inatungua ndege zenu kama kweli inazihitaji Kenya na Uganda. Kama ni kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile, Ethiopia inazihitaji nchi zote za 'Great lake region" Sio Kenya na Uganda pekee.

Kuhusu Egypt kupigana na Ethiopia, hata ikitokea, Kenya wala Uganda haziwezi kusaidi lolote kwasababu watakachotumia tumia Egypt ni kutuma ndege za kivita kushambulia Ethiopia na kurudi, hakuwezi kuwa na vita vya kukabiliana.

Hata kungekuwepo vita ya kukabiliana, Kenya wala Uganda, hakuna nchi inayoweza kuingilia vita ya nchi zingine, hilo ni tatizo la Ethiopia na Egympt, zote ni wanachama wa AU, haiwezikani watokee wanachama wengine wa AU waingilie bila ridhaa ya AU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mimi huwa nafuatilia siasa za Ethiopia kwa karibu sana hata kushinda za Tanzania au Uganda. Isitoshe mimi pengine ndio mtu pekee hapa jf aliyewahi kuingia Ethiopia kuanzia mashinani, maeneo za Oromo, Hawassa hadi Addis Ababa. Wacha nikufahamishe kuwa Ethiopia saa hii ina mgogoro mkali sana na Egypt kuhusu bwawa la Gerd.

Hii ni baada ya Ethiopia kukataa kutia saini makubaliano ya water sharing agreement na Egypt ikisema kuwa US inainterfere na negotiation. Ethiopia inasema itaanza water filling this July. Egypt inatishia kulipua hio dam kwa kutumia ndege za kivita. Ethiopia haiwezi kushinda Egypt kwenye vita. Sasa kuna tension kati ya hizi nchi mbili. Ethiopia inahitaji Kenya na Uganda tuwe upande wake ili kuendelea na majadiliano na Egypt. Sidhani Ethiopia inaweza pigana vita na nchi mbili Kenya na Egypt kwa wakati mmoja.
Mbona wanawachokora na madole? Tatizo nini? Ethiopia anataka Kismayo kama sea gateway kujiweka tayari incase Egypt inalianzisha!
 
Unajua mimi huwa nafuatilia siasa za Ethiopia kwa karibu sana hata kushinda za Tanzania au Uganda. Isitoshe mimi pengine ndio mtu pekee hapa jf aliyewahi kuingia Ethiopia kuanzia mashinani, maeneo za Oromo, Hawassa hadi Addis Ababa. Wacha nikufahamishe kuwa Ethiopia saa hii ina mgogoro mkali sana na Egypt kuhusu bwawa la Gerd.

Hii ni baada ya Ethiopia kukataa kutia saini makubaliano ya water sharing agreement na Egypt ikisema kuwa US inainterfere na negotiation. Ethiopia inasema itaanza water filling this July. Egypt inatishia kulipua hio dam kwa kutumia ndege za kivita. Ethiopia haiwezi kushinda Egypt kwenye vita. Sasa kuna tension kati ya hizi nchi mbili. Ethiopia inahitaji Kenya na Uganda tuwe upande wake ili kuendelea na majadiliano na Egypt. Sidhani Ethiopia inaweza pigana vita na nchi mbili Kenya na Egypt kwa wakati mmoja.

Pumba tupu, kwa hiyo provocation ndio njia sahihi ya kufanya ushawishi Uganda na nyinyi MWe upande wake!?na sio njia ya kidiplomasia?ikitokea mmekubali,kama Ethiopia itaendelea na hii njia, je,mtasema mmelazumishwa,au mmetumia diplomasia?
 
Its time now Kenyan waje and ask Magufuli for a help. He is well equipped, he beaten corona and he can assist you with prayers. LA sivyo ha wahabeshi watawatia madole machoni.
 
Pumba ipo wapi hapo? Kila kitu nimesema hapo ni fact.
 
Kwanini Ethiopia inatungua ndege zenu kama kweli inazihitaji Kenya na Uganda. Kama ni kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile, Ethiopia inazihitaji nchi zote za 'Great lake region" Sio Kenya na Uganda pekee.

Kuhusu Egypt kupigana na Ethiopia, hata ikitokea, Kenya wala Uganda haziwezi kusaidi lolote kwasababu watakachotumia tumia Egypt ni kutuma ndege za kivita kushambulia Ethiopia na kurudi, hakuwezi kuwa na vita vya kukabiliana.

Hata kungekuwepo vita ya kukabiliana, Kenya wala Uganda, hakuna nchi inayoweza kuingilia vita ya nchi zingine, hilo ni tatizo la Ethiopia na Egympt, zote ni wanachama wa AU, haiwezikani watokee wanachama wengine wa AU waingilie bila ridhaa ya AU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali nimesema kuwa Kenya itahusika kupigana katika hio vita. Nimesema vizuri kuwa Ethiopia inahitaji Kenya na Uganda na wewe ukaongeza, great lakes kwa ujumla ili iendelee na majadiliano. Katika majadiliano unahitaji urafiki kutoka kwa majirani zako. Egypt tayari ishapata endorsement kutoka kwa Arab countries ambao wako upande wa Egypt. Mgogoro huu ni mkubwa had US iliingilia kati lakini ikashindwa kuutatua.
 
Back
Top Bottom