Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Umefanikiwa ku download fomu ya appeal?

Mimi kila nikijaribu ku download inaniandikia download failed.

Au barua ya appeal unaandika tu mwenyewe then unaipeleka serikali ya mtaa kwa ajili ya utambulisho na muhuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sijakamilisha mkuu maana uyu dogo ni continuous hivyo nasubiri kesho iyo tarehe 10
 
Leo Ijumaa ndo awamu ya continueos.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi apart from kifo cha mzazi, previous TASAF support pale walipoweka sababu nyinginezo zinaweza kuwa sababu zipi zinazoweza ku-justify kupewa mkopo? Mimi ninampambania mtu wangu wa karibu ambaye wazazi wake wametalikiana mwaka huu na sasa wazazi wake wanatupiana mpira wa kumlipia ada. Will the attachment of divorce certificate and some explanation suffice to show that the applicant really needs financial support from the Board? Ufafanuzi hapo wadau.
 
7371B487-8234-4A0E-8438-3A84EF4B9B3E.png
7371B487-8234-4A0E-8438-3A84EF4B9B3E.pngNaomba kujua kwann jaman wananiandikia ivi
Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Back
Top Bottom