Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
unachanganya madesa mzee! kudownload fomu ya ku appeal ipi?Umefanikiwa ku download fomu ya appeal?
Mimi kila nikijaribu ku download inaniandikia download failed.
Au barua ya appeal unaandika tu mwenyewe then unaipeleka serikali ya mtaa kwa ajili ya utambulisho na muhuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
