Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Zikipita siku walizosema wamewaongezea, sababu zitakuja kuwa hamkuzingatia ujazaji na viambatanisho vyenu mlivyowakilisha sio sahihi.
Poleni sana watoto wetu.
 
Tangu saa 10 najaribu kumaliza hii appeal inagoma kabisa. kipengere cha birth certificate verification kimekataa tangu juzi na namba ninazoweka ni sahihi copy and paste from rita. sijui shida nn na leo ndo mwisho few hours remained.
 
Aisee jaribu kwenda internet cafe
 
Tangu saa 10 najaribu kumaliza hii appeal inagoma kabisa. kipengere cha birth certificate verification kimekataa tangu juzi na namba ninazoweka ni sahihi copy and paste from rita. sijui shida nn na leo ndo mwisho few hours remained.
Usisahau ile BV mwishoni pale
 
Back
Top Bottom