Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
www.instagram.com
Ujui kutumiaHizi simu zina kasheshe sana.
Unapigwa miti wewe sio bure.Ujui kutumia
janjajanja tu hizi hamna kitu apoKuna mawakala 8 According to Apple wenyewe
Kuna utofauti baina ya Apple Store na Apple Authorised store, hatuna Apple store ambayo Apple wenyewe wamefungua, ila kuna wafanyabiashara ambao official wanatambulika na Apple.
Kwamba wewe tukuamini na Apple wenyewe ambayo brand ni yao tusiwaamini?janjajanja tu hizi hamna kitu apo
Tafuta pesa kijana.Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.
NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.
![]()
Apple Store - Find a Store - Apple
Find an Apple Store and shop for Mac, iPhone, iPad, Apple Watch, and more. Sign up for Today at Apple programs. Or get support at the Genius Bar.www.apple.com
Maskini ni wewe unayenunua feki makumbushoTafuta pesa kijana.
Tunaonunua hizo simu wala hatusemi tunaibiwa, umasikini ndio unawasumbua baadhi ya watu kama wewe!
Ipo bhana, iStoreWapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.
NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.
![]()
Apple Store - Find a Store - Apple
Find an Apple Store and shop for Mac, iPhone, iPad, Apple Watch, and more. Sign up for Today at Apple programs. Or get support at the Genius Bar.www.apple.com
Wabongo hela hawana ila show off kama zote. Wanasiasa kwenye mafambaTuache feki life
Yes, hivi kweli utoe bidhaa marekani uje kuuza tz ?? Begi tu la mwanafunzi 5mln to 10mln tsh. Hayo masimu na computer yatakuwa used ila kwa ujaujanja wanayafanya yaonekane mapya.bongo ukanjanja sana.
High Copy.iPhone 16 Makumbusho stand