Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Kuna hawa wanaitwa Tech360 wanajiita "Apple authorised resellers". .. unawazungumziaje?
 
Apple wenyewe waliwahi kusema kwamba hawajawahi kuuza bidhaa zao zozote EAST AFRICA lakini wakati wa kulunch 15 PRO niliona Millard Ayo alipost kwamba kwa sasa wana mtu wao ambaye yupo authorized hapo MLIMAN CITY.

Sio mtumiaji wa hizi products hivyo sikufuatilia into details sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mawakala 8 According to Apple wenyewe

Kuna utofauti baina ya Apple Store na Apple Authorised store, hatuna Apple store ambayo Apple wenyewe wamefungua, ila kuna wafanyabiashara ambao official wanatambulika na Apple.
 
janjajanja tu hizi hamna kitu apo
 
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.

NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.

Tafuta pesa kijana.

Tunaonunua hizo simu wala hatusemi tunaibiwa, umasikini ndio unawasumbua baadhi ya watu kama wewe!
 
Chief Mkwawa,
Napenda kuuliza kwa kutaka kujua tu,

Nimekuwa nikitumia simu ya IPhone, huu mwaka wa saba,
Nikiangalia mabishano hapa, naona kama mimi nipo nyuma sana kuhusu matumizi ya hizi simu,

Mimi matumizi yangu ni kupiga na kupokea simu,
Mitandao ya kijamii, MSG,
Calculator, tarehe , saa,Alarm,Tochi.,

Hayo matumizi yote unayapata kwenye simu janja nyingine zote.

Naomba kujua What’s so special about IPHONE.

Ahsante
 
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.

NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.

Ipo bhana, iStore
 
Back
Top Bottom