Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Ni vijana wa Tim Cook, mzee wa upinde
 
Upo sahihi kabisa mkuu.zipo nyingi kama hizi mtaani but tofauti yake kati ya og na fake cha kwanza ni uzito..hizi first copy ni nzito kuliko second copy...kingine ni masaa ya kukaa na charge ...mimi inakaa masaa 7 au sita.mimi kwa siku nacharge mara mbili tu plus case ina kaa 24hrs.tena mimi nina matumiz ya non stop music na games..

Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa mtaani amekuja na JBL ameshaitumia anataka aniuzie 15K ipo bomba ina bonge la jumba linaonyesha mpk asilimia ya chaji , capacity ya power bank yake ni kubwa vilevile nasikilizia nichukue .
Hii ndio zile nyeusi?? Nilikuwa nazo mwezi uliopita hazina kitu mzee ndio nikachukua hizi airpods pro....ndio nikaona radha ya mziki..zile jbl zilikuwa zina case nyeusi na zinaonyesha charge kwenye case yake rangi ya kijanii.nimempa demu wangu ajidai nazo.

Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Chekeche nyingi..! kuna msee nilimkuta nazo nikachukua moja kusogeza kwenye sikio mziki ni kama marimba na sahani zinagogwa.
Nikamwambia jaribu hizi zangu mchina lakini bass kali na hazichoshii kabisaa kila kitu inatoka kwa mpangilio..
Kila mtu anahisi kitu kikiuzwa laki ndio kizuri humu. Mziki ni sikio lako tu.
 
Utacheka mkuu nenda ukapigwe
 
Utacheka mkuu nenda ukapigwe
Na wasiwasi na koment zako mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚ kama umezoea high end za iphone huwezi mwelewa oraimo maana sio bajeti yako huu uzi usifutwe nakuhakikishia yale mafamba yenye resembles ya earpods za iphone na wengine watapotea kwa ujio wa jamaa
 
Mie najichanga nikanunue freebud za huawei ...bei yake mlima but nataka iwe sawa na simu yangu..huawei hizi aipords zingine hazionesh parcent ya charge ya wala case animation yake mpaka upate pods zake za huawei

Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…